Recent content by jayde

  1. J

    Kunguni wanasababishwa na nini?

    Shimbuko lake ni uchafu pamoja na kutopiga pasi Nguo.Haina maana kila nyumba yenye kunguni ni wachafu,isipokua hao wadudu walisambazwa Na watu wachafu waliotoka vijijini.Inawezekana ni ndugu waliokutembelea,au ni wanafunzi walitoka nao shule,au uliwapata guest house au kwenye mabasi wakati wa...
  2. J

    Ni bora kuanzisha mahusiano na mtu mwenye sifa ipi kati ya hizi mbili?

    Hakuna kilicho bora hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. J

    USHAURI: Nina miaka 40 sina familia, nyumba, kiwanja /shamba wala mradi wowote japo nimeajiriwa Serikalini

    Tafuta mwanamke aliyeserious na maisha oa,ukishamuoa weka wazi kipato chako pia yeye ataongeza kipato, mpe nafasi apange bajeti hivyo ataweza Ku save kiasi fulani hivyo mtafanya vitu vya maendeleo. Sent using Jamii Forums mobile app
  4. J

    Maisha ya Mtumishi wa Serikali ni Magumu mno. Mungu aingilie kati

    Kwani huo hiyo hela ya mkooo uliifanyia nini? Ungeifanyia biashara hayo maisha yasingekuwa magumu kiasi hicho. Sent from my HUAWEI Y360-U61 using JamiiForums mobile app
  5. J

    Nimeposa binti ana miaka 17 ila sio mwanafunzi nami nina miaka 30 hapo imekaaje wadau?

    Ukimuoa tuletee mrejesho baada ya miaka kumi. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. J

    Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

    Utafika mkuu,mi naona kama tumeoana Jana,ndoa yangu bado ni mpya na itaendelea kuwa hivyo in the name of Jesus. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. J

    Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

    Usihofu mkuu,ndoa ni wewe utakavyoiwe ndivyo itakavyokuwa.Niko kwenye ndoa Mwaka wa 19 sasa,na enjoy ndoa yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. J

    Mlioko kwenye ndoa zaidi ya miaka 5

    Pole sana,ndoa haina formula na wala huwezi kucopy ndoa kwa jirani au shoga yako,kwamba kwavile akina Fulani wanaishi hivi basi na wewe ndoa yako itakuwa hivyo.Ni nyinyi wanandoa kukaa pamoja na kukubaliana ndoa yenu itajengwa katika misingi gani.Kupendana,kusameheana na kuvumiliana ni nguzo kuu...
  9. J

    Utamu wa ndoa kujitunza

    Utamu wa ndoa ni wanandoa wote wawili kila mtu kujua wajibu wake na kutimiza wajibu kwa mwenza wake na familia yake kwa ujumla.Wewe jistiri,itunze ndoa yako ,jiheshimu lakini kama upande wa Pili haujitambui,bado ndoa yako itakua chungu. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. J

    Naomba mnipe njia ya kurudisha furaha ya mwanangu

    Inawezekana huna uzoefu katika kulisha mtoto,mtoto anayejaza chakula mdomoni inatakiwa ubuni mbinu ambazo zitamfanya afurahie ili aweze kumeza,Mf kumwimbia nyimbo,kumpeleka sehemu yenye mtoto kama yeye ili akimbie kimbie na kucheka wakati unamlisha.Mi mwanangu wa kwanza alinitesa ila nashukuru...
  11. J

    CORONA: Maaskofu 13 wa KKKT watoa waraka. Wasisitiza ELIMU zaidi kwa umma ili kupanua ufahamu wa raia kuhusu maradhi haya

    Maelekezo ya wataalamu wa afya ni pamoja na kutokusanyika,huwezi ukasema unachukua precaution wakati bado unaruhusu mikusanyiko. Kwani ukisali nyumbani kwako Mungu hasikii maombi? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. J

    Corona: Meneja wa Diamond na Mwana FA watangaza kuugua Corona baada ya kupimwa

    Tumeishaugua sana Corona sema hatukujua kama ni Corona. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. J

    Nawaza kumtoa nduki mama mkwe nyumbani kwangu

    Busara itumike kumuo doa huyo mama, otherwise utasabisha migogoro iwe mikubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. J

    Asante mke wangu kwa unayonifanyia

    Watu wenye kichaa cha ndoa utawajua kupitia huu uzi. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom