Recent content by Jay92

  1. J

    Watani wa Jadi: Wanaume wa Dar vs wa Mikoani

    Mwanaume unakula chipsi halafu unasema umekula chakula....Dar acheni hzo tabia
  2. J

    Wauza smartphone tukutane hapa

    nna 150k cash nahitaji simu yyt nzuri isipokuwa TECNO, ITEL na simu zingine zinazofanana na hizo..... nicheck kwa 0713672532
  3. J

    Kwanini Ndege(Roketi/Contrail) huacha mstari wa Moshi Mweupe?

    Kinachofanya uuone ule mstari unabaki kwa muda mrefu ni umbali uliopo kutoka upeo wa macho yako mpaka ulipo ule moshi.. Na ndio maana hata ile ndege yenyewe unaiona kama ina enda mwendo wa kawaida sana lkn kumbe inaweza kuwa hata 700km/h hadi 1000km/h. Sasa kama ile ndege inaenda kwa kasi hivyo...
  4. J

    A serious woman needed

    Nahitaji mwanamke ambaye yupo serious kwa ajili ya kuanziasha naye mahusiano and may be marriage in the next few years. I like somebody who is loving, caring, charming, smiling and who knows what is love. Awe na umri wa miaka 18-23, because that is my age range also. I prefer if she has...
  5. J

    Wauza smartphone tukutane hapa

    HTC ONE M7 32GB BLACK NAUZA SIMU TAJWA HAPO JUU..... BEI NI 300,000/= JAPO INAWEZA KUPUNGUA KIDOGO. SIMU IKO POA KABISA YAANI NI KAMA MPYA JAPO IMETUMIKA.... UNAPEWA SIMU KAMA SIMU.... YAANI BILA ACCESORY YOYOTE..... KAMA UPO INTERESTED UNAWEZA NICHECK KWA 0713672532... AU KAMA UNA SIMU YOYOTE...
  6. J

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauzwa blackberry Z10 16GB kama ilivyotajwa hapo huu.... bei ni tsh. 200000/= fixed haipungui..... internal ni 16GB RAM ni 2GB camera ni 8MP kwa 2MP n Video size kwa rear camera ni 1080pixels processor ni 1.5 GHz dual core screen resolution ni 4.2 cm ina 4G LTE NA PIA INASUPPORT APPS ZA ANDROID...
  7. J

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza blackberry Z10 16GB storage, 2GB RAM, 4G LTE and 1.5Ghz kwa sh.220000/= tu... Napatikana Mabibo.... kama upo interested unaweza ukawasiliana na mimi kwa namba 0713672532 au 0765935449
  8. J

    Mnaotamani kuoa mwanamke wa Kikenya mje mjionee

    hata mm natafuta mwanamke mkenya
  9. J

    Kuna athari zozote kama mtu akiaamua kuacha ualimu na kufanya hivi?

    kwa ushauri wangu....kwa sababu amesoma science na science ina soko... bac anaweza kuacha ajira atakayopangiwa... kwa sababu hata asipopata hyo diploma? ualimu anaweza akaomba hata private schools na akapata vizuri kabisa bila shida yoyote.... kama anaweza asubirie tu hiyo diploma
  10. J

    Am looking for a serious girl ageing from 18 to 23 years

    ukikaa kimya utaonekana na busara zaidi kuliko hayo unayoyasema.... busara yako iko wapi? hunijui
  11. J

    Am looking for a serious girl ageing from 18 to 23 years

    Hi there, I am man from Tanzania, and I am 23years of age, 65kg and 178cm tall. By now am still a student attending my studies at a certain institute at Dar es salaam. I am a caring, truthful and faithful, and I am interested in women, a truthful and faithful woman who will love me the way I...
  12. J

    Am looking for Fiancee aged 18 to 22 years old

    Nowadays girls wamebadilika sana..... wazazi wote wanaweza wakakubali but the problem inabaki kwa wewe na huyo girl..... unaweza kuta huyo girl ana mtu wake ambaye hata wazazi wake hawamfahamu......
  13. J

    Am looking for Fiancee aged 18 to 22 years old

    kwa wote waliokuja huku ni madomo zege?
  14. J

    Am looking for Fiancee aged 18 to 22 years old

    darasani watu wameshagawana mapemaaaa
  15. J

    Am looking for Fiancee aged 18 to 22 years old

    Wala.... we baki tu na michepuko yako
Back
Top Bottom