Recent content by Jay wa Jay

  1. J

    JamiiForums Tanzania Uzoefu wa kusafiri na Rocket kati ya Misri na Afrika ya Kusini

    Sikutegemea kukuta chai kama hii hapa jf. Hizo story za vijiweni 90's huko, kwenye vijiwe vya sasa hukuti chai kama hii.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Ongeza maneno yako yanayotamkwa vibaya

    Faralaini badala ya Fire Line
  3. J

    JamiiForums Tanzania Ongeza maneno yako yanayotamkwa vibaya

    https://en.m.wikipedia.org/wiki/Nairobi_fly
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ongeza maneno yako yanayotamkwa vibaya

    https://www.google.com/amp/s/nairobiwire.com/2020/01/nairobi-fly-or-narrow-bee-fly-this-is-the-correct-name.html/amp
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ongeza maneno yako yanayotamkwa vibaya

    Nairobi fly ni sahihi. Hiyo narrow bee fly ni upotoshaji tu. You're welcome.
  6. J

    JamiiForums Tanzania Atakayeniambia kirefu Cha BOMA Nampa zawadi ya vocha

    Wengine watasema "British Overseas Management Administration", wengine "British Overseas Military Administration" wengine "British Officers Mess Area". Lakini hizo zote ni 'myths' za uongo juu ya neno boma. Ni neno ambalo lipo kwenye lugha ya Kiswahili hata kabla ya waingereza kuja nchini...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Portuguese / Spanish Language Partner

    ¡Holla! E ai galera, tudo bem? . Natafuta mtu / watu wa kuwasiliana naye / nao kwa kutumia lugha hizo hapo mbili kama sehemu ya kujifunza. Kama upo tayari naomba tujulishane na tujadili ni njia ipi inafaa ku-practice lugha hizo (chatting, voice messages, calling etc), kwa sababu naona kadri...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nina bajeti ya 600,000. Simu gani itanifaa?

    nipe bei uliyonunulia na location tafadhali.
  9. J

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wapige kura kuwabaini Walimu mafataki

    naunga mkono upigaji kura wa siri, lakini usihusishe walimu tu bali jamii nzima pia kura hizo zisipewe conclusion bali uwe ni mwanzo tu wa uchunguzi dhidi ya vitendo hivyo.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua kireno/kibrazil njoo utoe shule

    estou aqui.. beleza?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua kireno/kibrazil njoo utoe shule

    Estou bem, de onde você é?
  12. J

    JamiiForums Tanzania Kwa anayejua kireno/kibrazil njoo utoe shule

    ola! como você vai?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Ufahamu mkasa wa kifo cha utata cha mwanamke wa Isdal ulioishangaza dunia (sehemu ya 1)

    story ipo nusu, yamepita masaa 14 hakuna mwendelezo... let me tell you something mtoa post.. siku nyingine kabla hujatoa post yenye vipande, either (a) hakikisha umeandaa stori yote kwanza ndipo uanze kutupia humu au (b) uwe na muda wa kutosha kuandaa sehemu inayofuata kabla arosto haijapanda...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze lafudhi (accent) ya Nigeria hapa

    Running - ronin
  15. J

    JamiiForums Tanzania Jifunze lafudhi (accent) ya Nigeria hapa

    Jinsi ya kutamka baadhi ya maneno ya Kiingereza kwa lafudhi ya Nigeria: Google - Gugu Husband - Ozzband Arsenal - Ass Na Paper - Pay Pa Concern - Con Son XBOX 360 - Eggs Bugs Tree Sisty McDonald's - Magdonass Safe Journey - Save Johnny Order Chinese - Hoda Shy Knees Happy Birthday -...
Back
Top Bottom