Hivi punde
JF-Expert Member
- Apr 1, 2017
- 2,554
- 8,552
Rocket ni usafiri wa anga kama ilivyo hizi ndege za kawaida na helicopter, lakini Rocket hairuki umbali mrefu sana kutoka usawa wa bahari kama ilivyo ndege ambazo hutembea juu futi hadi 36,000 na speed ya 900km/hr.
Rocket hutoa moshi mzito kutokana na aina ya engine yake ambayo hutaka kufanana na ya train ya mafuta (diesel).
Rocket huruka wima (vertically) tofauti na ndege.
Inasemekana, kwa Afrika kuna viwanja viwili tu vya rocket , cha Johannesburg Afrika ya Kusini na Cairo nchini Misri.
Sifahamu rocket hubeba mizigo au abiria !
Ni usafiri ambao ni wa hatari sana, kutokana na urukaji wake na pia ikianza kutua. Kashkash ni kubwa sana inayoambatana na moto mkali unaoiwezesha Engine kuendesha rocket.
Mwenzangu umewahi kupanda rocket ?
Binafsi nina mpango wa kupanda hii jet aisee