Acheni chuki na unafiki wa kishetani,ina maana mnataka kusema mtu akihama toka ccm kwenda upinzani inakuwa nongwa kwenu?,acheni siasa za chuki na visasi!,mara ngapi watu wa upinzani wanahama kwenda ccm?mbona huwa maisha yanaendelea bila ya chokochoko hizi!,mwacheni nyalandu aende mahala ambapo...