Recent content by Javekudo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Why are jews so smart?

    SAWA
  2. J

    JamiiForums Tanzania Kiafya Binadamu anatakiwa kutumia muda gani kwa kutoa haja kubwa chooni?

    ha ha ha kwamba unashusha kitu huku unapitia uzi wa MMU
  3. J

    JamiiForums Tanzania Fumanizi...!

    Aiseee
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kitu gani kilikufanya ukaachana na mpenzi uliempenda sana?

    Nilimuacha nikiwa nampenda sana, Anakagua simu yangu kupitilizi hata usiku wa maneno anaamka anaanza kusoma txt utadhani anafanyia Necta, Akipata no za vimada wengine anawapigia, Nilimvumilia sana kwa sababu nilikuwa nampenda Alikuwa hajui mapenzi yaani mikwanjuo hawezi completely basi hata...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Mpenzi wangu hanihudumii wala haniridhishi kimapenzi

    hapo suala la msingi ni kitandani tu hebu nipe namba yako nikushauri private
  6. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa Wanahabari na Spika wa Bunge, Job Ndugai

    Bado hajaanza kuongea tu.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Music makes us feel good

    Ka uzi useful sana haka.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tumaini hospital kwanini hamthamini wafanyakazi wenu?

    sidhani kama serikali wanahusika nahisi hawa watu ni wababe tu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Tumaini hospital kwanini hamthamini wafanyakazi wenu?

    dodoma unalima nini mkuu?
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ni mwaka gani ambao Serikali ya Tanzania iliwagawia bure wananchi wake chakula ?

    Juzi tu hapa enzi za JK, Watanzania tunasahau sana tena kwa kauli zake akasema " HAKUNA MTANZANIA ATAKAYE KUFA KWA NJAA" labda tuelewane kitu kimoja sio kwamba serikali itatoa chakula cha bure hapana, Ila inachokifanyika serikali ni kuwauzia wananchi chakula kwa bei nafuu mfano sasa hivi bei...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Tumaini hospital kwanini hamthamini wafanyakazi wenu?

    your right ila kumbuka wengi wao ndo kwanza wametoka shule miaka michache kwa maisha yanavyokwenda watajifunza kitu
  12. J

    JamiiForums Tanzania Tumaini hospital kwanini hamthamini wafanyakazi wenu?

    Mkuu huu ni uonevu tena uonevu ulio uchi kabisa haiwezekani wewe umwajiri mtu halafu umalize miezi miwili bila kumlipa , anakula nini,matumizi yake ya kawaida anatoa wapi? i wish i could be IGP
  13. J

    JamiiForums Tanzania Tumaini hospital kwanini hamthamini wafanyakazi wenu?

    Wakuu kher? Katika maisha kuna vitu vinasikitisha sana tena sana, Waajiri wengi wamekosa utu hasa linapokuja suala la kutimiza wajibui wao kama waajiri hapa nazungumzia malipo na stahiki za mfanyakazi. Tatizo kubwa waajiri wanakuwa hawajali maslahi ya wafanyakazi wao na wakikaa vibaya tu...
Back
Top Bottom