Recent content by JATELO1

  1. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Namkubali Rais Magufuli asilimia 100, sizitaki tena siasa za vurugu

    Wizara ya Nishati na Madini haina Waziri mpaka sasa. Hadi nafasi hiyo ijazwe tutasikia mengi. Huu ndio ukweli.
  2. J

    JamiiForums Tanzania Line za Tigopesa, M-pesa, Airtelpesa na halotelpesa zinahitajika

    NB: UPDATES Wakuu, naomba kuchukua fursa hii kuwapongeza wote waliofanikiwa kuwasiliana nami kuhusu hitaji langu la lines za wakala. Hatimaye nimefanikiwa kupata lines zote, na hivyo nawashukuru sana. Ahsanteni sana.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Line za Tigopesa, M-pesa, Airtelpesa na halotelpesa zinahitajika

    Wakuu, Bado sijafanikiwa kupata. Nimejaribu kuwaandikia kwa pm lakini hakuna majibu mpaka sasa. Simu pia nikipiga hazipatikani. Mwenye line hizo tajwa naomba tuwasiliane kupitia 0715060229. Ahsanteni.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Line za Tigopesa, M-pesa, Airtelpesa na halotelpesa zinahitajika

    Atakupigia muda si mrefu.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Line za Tigopesa, M-pesa, Airtelpesa na halotelpesa zinahitajika

    Wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyosomeka, nina jamaa yangu anahitaji line tajwa hapo juu. Anapatikana Dar es Salaam. Siyo lazima uwe na line zote. Hata kama una 1 au mbili kati ya hizo lines unaweza kuwasiliana naye kupitia pm hapa hapa JF au email address: lindinachingwea@gmail.com...
  6. J

    JamiiForums Tanzania RE: kiwanja kinauzwa bei poa Busweru Mwanza

    2.5m offer yangu
  7. J

    JamiiForums Tanzania RE: kiwanja kinauzwa bei poa Busweru Mwanza

    2.5 my offer
  8. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mume wangu amejua kuwa namsingizia mtoto, lakini pia ameshindwa kumkataa

    Dada, Kwa usalama wa mwanao na wewe omba talaka. Hali hiyo inamuathiri mwao kwa jinsi ya hatari hasa kwa siku za baadaye. Kumbuka si mmeo wala ndugu zake mwenye upendo na huyo mtoto na hata wewe tangu uliposhika ujauzito, hivyo hujui kinachopangwa dhidi yako wewe au mwanao. Kumbuka wale ndugu...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Hoteli Nzuri Mwanza (TZS 20,000-30,000) kwa siku

    Thanks so much will come back to you.
  10. J

    JamiiForums Tanzania CRDB semeni ukweli

    Mkuu sio CRDB pekee, Benki nyingi zimesitisha mkopo kwasasa lakini hawawezi kusema, kwani ni agizo toka kuleeee!!!! Benki pekee inayoweza kukupa mkopo kabla hawajaacha kwasasa ni NMB. Mengine sina taarifa, lkn kwa CRDB usiendelee kupoteza muda, kwani kwasasa hawatoi tena mikopo.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Hoteli Nzuri Mwanza (TZS 20,000-30,000) kwa siku

    Ahsante Mkuu.
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hoteli Nzuri Mwanza (TZS 20,000-30,000) kwa siku

    Ahsante Mkuu
  13. J

    JamiiForums Tanzania Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

    Airport.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

    Mkuu Kabas, Kati ya hizo mbili ipi iko poa zaidi na location ni wapi? Nitakaa hapo zaidi ya wiki, hivyo nahitaji sehemu tulivu ili niweze kufanya majukumu yangu. Naomba usinichoke tafadhali nisaidie hizo taarifa Mkuu.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

    Mkuu Elungata, zipo sehemu gani pale Mwanza tafadhali?
Back
Top Bottom