RE: kiwanja kinauzwa bei poa Busweru Mwanza

RE: kiwanja kinauzwa bei poa Busweru Mwanza

2.5m offer yangu
Nitafute kwa 0763772636 uje kukiona yaani kiko dakika kama Saba kutoka kituo cha basi halafu maji umeme upo na pamejengeka just WhatsApp me tuwekane sawa u won't regret
 
Habar wakuu
Kuna kiwanja kizuri sana kinauzwa Buswelu karibia na shule ya sekondari bidii ukubwa ni 20*30 maji umeme vipo
Bei ni milioni nne tu upungufu upo kidogo
Kwa mawasiliano plz call 0763772636
407d7e00f4c13340547863be91692096.jpg
aa25f77b3d086b71b12666e7fa76348e.jpg
Kumeshapimwa huko au Ndio Upimaji Shirikishi Nijibu inbox
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom