Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

Hoteli nzuri ya kulala Mwanza

Mkuu Elungata, zipo sehemu gani pale Mwanza tafadhali?
chrismas iko mitaa ya kati hapo town,
ila zingine hizo ziko uhuru street,na penyewe ni kati pia,chukua hotel mitaa ya uhuru hapo ni karibu na mitaa ya kati,pia ni peace
 
Mkuu Kabas, Kati ya hizo mbili ipi iko poa zaidi na location ni wapi? Nitakaa hapo zaidi ya wiki, hivyo nahitaji sehemu tulivu ili niweze kufanya majukumu yangu. Naomba usinichoke tafadhali nisaidie hizo taarifa Mkuu.
Holmand ipo town kabisa kwa hiyo kama una ishu mdogo ndogo huitaji usafiri unashuka tu unaingia mjini. Sparrow ipo vzr na sehemu tulivyo opposite na rock city mall,na vill park,ila kupata rum za bei hiyo imabidi tufanye booking mapema kny saa nne mpaka sita
 
Hotel zote umetajiwa,ila kwa bei hiyo wewe lala Christmas tree,Rehema ya mungu na clevaland,zote zipo senta karibu karibu,pia in awe za kwenda victoria annex,zipo mjini ni nzuri,kumalija usiende afadhali Vienna hapo nyegezi.Zipo mjini kabisa,hata mpaka SAA 8 usiku unaweza ukawa nje na kula bata.Ila vinginevyo karibu kahungwa na shinyanga quest.
 
Kitwima nayo nzuri,mtaa wa rufiji karibu na sumaye hotel.
 
Back
Top Bottom