Kama Mikopo mmesitisha tangazeni acheni kuwadanganya Wateja wenu,Mara tar15 ooh mwezi ujao mwanzoni!semeni kweli
Mkuu sio CRDB pekee, Benki nyingi zimesitisha mkopo kwasasa lakini hawawezi kusema, kwani ni agizo toka kuleeee!!!! Benki pekee inayoweza kukupa mkopo kabla hawajaacha kwasasa ni NMB. Mengine sina taarifa, lkn kwa CRDB usiendelee kupoteza muda, kwani kwasasa hawatoi tena mikopo.