Recent content by Jassbein

  1. J

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Jipatie magari mazuri kwa bei ya mmiliki

    mitsubishi rosa registration number : T356 DQD Haija tembea sana. Mileage 98145km Imetumika jpn.. Bei ni 41990000. Maongezi yapo Mawasiliano na pic zaid 0652449233
  2. J

    JamiiForums Tanzania Online clinic management system

    Habari wana JF . Naombeni mawazo yenu . Nimeplan kutengeneza system ambayo itasaidia kupunguza matatizo wanayokumbana nayo wagonjwa mahispital. Mfano kusubir huduma bila mafanikio na kushindwa kuona record zao. Ningependa kujua matatizo mengine wanao yapata ambayo naweza solve kwa system
  3. J

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya computer science na IT

    Kunatofauti yoyote kati ya IT na ICT ?
  4. J

    JamiiForums Tanzania Tupunguze umasikini

    If you want to see a change in your life then you must be that change. Now everything depends on you and your actions only. If your in Tanzania and you want success in your life join.. CrowdRising.net Members Home For more information: 0652449233
  5. J

    JamiiForums Tanzania TCU yatangaza alama mpya kwa mwanafunzi kuingia Chuo Kikuu

    Alafu hizo dd mbil zatokea kwenye mfumo huu A 80 - 100 Point 5 B 75-79 Point 4 C 65-74 Point 3 D 55-64 Point 2 E 45-54 Point 1 S 40-44 Point 0.5 F 0-39 Point 0 *Angalizo* Nimeleta kama ninavyofahamu kawaida ya utunukaji madaraja ambayo iliwahi kutumiwa na NECTA katika upangaji marks, sasa...
  6. J

    JamiiForums Tanzania JKT kwa mujibu wa sheria form six 2016

    Members mwazingua.. Mtu akiuliiza swal ajibie kama alivyouliza na si kumkashifu
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wauza smartphone tukutane hapa

    Lg g4 bei n 830,000tsh Ukitaka picha na more infor about dat phone ni check kwa 0652449233. Lg g5 inatoka mwaka bt bado haija toka
  8. J

    JamiiForums Tanzania NECTA mnawaonea watoto

    Tatizo viongoz wa ckuiz hawachukui mawazo kutoka kwa watu. Wanakurupuka tuu
  9. J

    JamiiForums Tanzania NECTA mnawaonea watoto

    Kuna watu wanaropokwa tuu. Kama waona rahis ingia shule uone. Ww ndyo mjinga unafata mkumbo tuu. Alafu kuwa na heshima na uheshimu comment za wengine
  10. J

    JamiiForums Tanzania Viwango vya ufaulu

    Shukran Babu JP
  11. J

    JamiiForums Tanzania Viwango vya ufaulu

    Ok.. Shikran babu JP
  12. J

    JamiiForums Tanzania Viwango vya ufaulu

    Habar zenu wa jf Naomba kwa anaye jua viwango vya ufaulu ya A n ngap had ngap b c d e f nazo n ngap had ngap anijulishe.
  13. J

    JamiiForums Tanzania NECTA mnawaonea watoto

    Elimu ya kibongo haielewek kila cku wanaleta mapya. Ila hii ya sasa cyo hak kabisa . wanajiangalia wao tuu.
  14. J

    JamiiForums Tanzania Lg g4 lak nane na 30

    Vip hal zenu.. Naomba kwa anae jua bei ya lg g4 mpya anijulishe
  15. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya kioo cha Galaxy S4

    Asanten kwa majibu yenu. N wap nitakipata?
Back
Top Bottom