Recent content by Jasnira

  1. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Ni kwanini watu huumia wanapokuona umefanikiwa?

    Wana roho tu za kimaskini
  2. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Kwanini nyie wanawake mnafunga pm zenu?

    Ukinitumia msg pm imekula kwako huwaga sijishughulishi na upuuzi labda iwe ni business nimeona nimeipenda nikuulize lakini sio jitu linatoka huko eti hi.. mazoea sitaki dm yangu..
  3. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Unaweza kumuachia mchumba simu yako kwa siku tatu?

    Ndio kwani sinaga makando kando ya kipuuzi.. niko straight forward najua nataka nini. Nimeamua kuwa na yeye end of the story...
  4. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Tunauza Plots (viwanja) na mashamba Dar es salaam

    Kina hati
  5. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Ni aibu sana mke, mume na watoto familia moja wote kuwa facebook

    Kila mtu ana uhuru wa kupata taarifa inategemea mnatumiaje mitandao. Kwangu si jambo baya.
  6. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Je mnachukuliaje hali ya wake zenu kupewa lifti?

    Si umnunulie hata used swift ka million 5... shida iko wapi yaani apate shida ya usafiri na lift ipo we wa wapi
  7. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Je mnachukuliaje hali ya wake zenu kupewa lifti?

    Si umnunulie hata used swift ka million 5... shida iko wapi yaani apate shida ya usafiri na lift ipo we wa wapi
  8. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Hisa ni nini?

    Hizo issue ni kama kamali so kuna kula na kupuswa.. so take care. Design kama una bet niko na 8m nahitaji kuziweka mahali zinizalishie hata kwa one year lakini sio kwenye hisa...any idea nipeleke wapi?
  9. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Fastjet amerudisha Airbus zake, kulikoni?

    Wamewaondoa lini? Mbona nimesafiri nao jumapili hii ya 19
  10. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Natafuta jina lake nitawaambia ngoja Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
  11. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Kama nakuona utakavyonukia..shukrani
  12. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ndio wanauza kwa kupima zote brand kubwa kubwa. Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
  13. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Ndio halafu dove ni adimu hasa mikoani hivyo nikijaga dar ndio nanunua ya kuja nayo...
  14. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Nadhani zitakuwepo jaribu kutafuta. Ila dove zinanukia vizuri sana nazo kuliko nivea.
  15. Jasnira

    JamiiForums Tanzania Tujuzane aina ya manukato (perfume) unayotumia

    Tafuta ambazo hazina alcohol hasa nimeona za Dove... Zenye alcohol zinaongeza weusi makwapani na mambo kama cancer ya maziwa kwa wanawake.
Back
Top Bottom