Recent content by Jaruu

  1. J

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Rais mstaafu, Jakaya Kikwete kuwa Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM)

    Kweli mkuu magufuli kana mbali jamaa asiwe mpweke
  2. J

    JamiiForums Tanzania Access bank wanasema wanatoa mkopo wa kilimo kwa utaratibu huu. kuna mtu amewahi fanikiwa?

    Dar kuna kilimo cha lami hakiitaji mkopo
  3. J

    JamiiForums Tanzania Bei ya mafuta duniani imeshuka, Tanzania bado bei ipo palepale

    Sifahamu sana mambo ya thamani lakini kwa uelewa wangu mdogo kama mwanzo yalikua dola 150 na mafuta yalizwa 2000 na sasa ni yameshuka hadi dola 30 yanapaswa kuuzwa chini ya 800 kwa lita bila kuangalia thamani ya dola dhidi ya shilingi
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kubomoa Naura Spring Hotel ni komoakomoa sio bomoabomoa

    Nimeishi arusha ukweli hayo majengo pamoja na ccm yapo mtoni kabisa yabobolewe tu hamna namna
  5. J

    JamiiForums Tanzania Anahujumiwa! Wafanyabiashara wakubwa wakutana kwa siri, waazimia kuficha fedha zao, kutoagiza bidhaa

    Umeeleweka vyema kwetu tatizo halikuanza wakati wa kikwete bali sera mbovu za ubinafsishaji uliofanywa na mkapa kuamini uchumi wa nchi utaendeshwa na wageni na sio wazawa
  6. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Kiukweli kabisa serikali ya awamu ya tano inazidi kunikosha
  7. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Kwanini isiwe tanga au mtwara iwe bagamoyo kilomita chache kutoka dar
  8. J

    JamiiForums Tanzania Serikali yasitisha Ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo. Kuimarisha Bandari za Mtwara, Dar

    Bora ziliwe kuliko huu uaribifu wa ambao ungetokea
  9. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini "Service charge" ya TANESCO ni tatizo linalohitaji utatuzi wa haraka!

    Sichangii neno kimsingi umemaliza mi nasoma coment
  10. J

    JamiiForums Tanzania Juma Duni Haji hajarejea CUF, puuuzeni uvumi wa CCM

    Mbona povu linakutoka tulia utaelewa
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa Dar anamiliki 2/3 ya ardhi ya kijiji Morogoro

    Du umetisha
  12. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri. President Magufuli badilisha fedha haraka

    Sijui faida yake wala hasara yake kwakweli
  13. J

    JamiiForums Tanzania Syria na Iraq zinapogeuzwa maeneo ya kujaribia silaha za U.S, Ulaya na Urusi

    Ndugu zangu naombeni mnisaidie dikteta ni mtu gani je kuna tofauti ya dikteta na mfalme je kama mtu kaongoza muda mrefu sana ndio dikteta?
  14. J

    JamiiForums Tanzania Niliwapigia CCM kura, sasa mbona wale jamaa hawaisomi namba?

    Subiri namba inamuhusu kila mtu
Back
Top Bottom