Access bank wanasema wanatoa mkopo wa kilimo kwa utaratibu huu. kuna mtu amewahi fanikiwa?

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
AccessBank offers Agro loans to individual farmer ranging from 100,000/- to 25, 000,000/- TZS aimed to offer adequate and timely financial support to farmers to enhance their agricultural activities (Inputs supply, Labor/Farm Equipment, investments etc.
Agro loan process

upload_2016-1-19_21-25-48.png

Advantages:

  • Very fast process: 3 days to get your loan!
  • Flexible repayment plan adapted to the individual farming activities and monthly cash-flow
  • No necessity to have an account at the bank
  • Full transparency and no corruption

Terms and conditions:

  • Requirements: Tanzanian of more than 18 years old cultivating and living in the branch operating area for more than 2 years
  • Required documents: One among the voting ID, passport, driving license, mweniekiti/ward letter + business license (if you have a business)
  • Collateral: livestock, home and business items, house, fields, motor vehicles…

Locations:

  • Mwanza: Kitengo maalumu cha mikopo KISESA mkabala na kituo cha polisi Kisesa
  • Kahama branch: Isaka Road, majengo
  • Tabora branch: Isikie Road jingo la NSSF
  • Mbeya branch: Mafiati, Tunatazamana na chuo cha Uhasibu (TIA)
 
Mkuu hii mikopo ni kwa mikoa hiyo tu? Ni kiwa Dar je ?
kwa dar naona hiki kipengele kitasumbua.
Requirements: Tanzanian of more than 18 years old cultivating and living in the branch operating area for more than 2 years
 
wamepeleka kilio kwa wakulima sasa.
maana hawa jamaa ukipitisha rejesho siku moja tu wanakujia dukani wafanyakazi wote wa bank sasa huko kwa wakulima sijui itakuweje
 
kwa dar naona hiki kipengele kitasumbua.
Requirements: Tanzanian of more than 18 years old cultivating and living in the branch operating area for more than 2 years

Sidhani kama kipengele kitasumbua mkuu kwani hawajasema diameter ya hilo eneo la Branch inaukubwa gani hasa. Mfano, what if kama Access wana branch Mbagala na mimi ninalimia Mkuranga just 10 km toka Mbagala sipaswi kupewa huo mkopo? Nadhani ni vizuri kwenda kutembelea tawi husika na kuconfirm.
 
wamepeleka kilio kwa wakulima sasa.
maana hawa jamaa ukipitisha rejesho siku moja tu wanakujia dukani wafanyakazi wote wa bank sasa huko kwa wakulima sijui itakuweje
Wajiandae kutiwa mishale ya makalioni
 
Mikopo ya kilimo hailipiki ni sawa na kamari...Itakuwaje mvua isiponyesha au mazao yakiliwa na wadudu hawa wanataka kuwatia umasikini wakulima...ukipitisha rejesho siku moja tu wanakuuzia nyumba yako
 
Sidhani kama kipengele kitasumbua mkuu kwani hawajasema diameter ya hilo eneo la Branch inaukubwa gani hasa. Mfano, what if kama Access wana branch Mbagala na mimi ninalimia Mkuranga just 10 km toka Mbagala sipaswi kupewa huo mkopo? Nadhani ni vizuri kwenda kutembelea tawi husika na kuconfirm.
Mkuu Bobby upon sahihi ila tu hapo kwenye umbali toka Mbagala mpaka Mkuranga si 10km,ni 40 km.
 
Back
Top Bottom