Kuna sehemu moja nimepata kibarua, kipindi naingia kuna binti mmoja pia kaajiriwa. Hii sehem kuna nyumba kama hostel huwa wanahost wageni wakija na hizi nyumba zimejengwa kwa mfumo ambao kila nyumba ina vyumba viwili yaani kimoja nyuma na kimoja mbele. Kwa bahati nimejikuta niko nyumba moja na...
Kitu ambacho mm nakijua as kilini mwangu ni kwamba, usiende kusoma kozi fulani eti kwa sababu umeambiwa watu wa huko wanalipwa vizuri. Soma unachokihitaji hasa, ambacho huwa unataka usome siku zote. Kuajiriwa wakati mwingine ni bahati ya mtu. Kuna watu wamesoma medicine mpaka sasa hv wana miaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.