Msaada tutani

japhetic

Member
Jun 19, 2015
10
7
Kuna sehemu moja nimepata kibarua, kipindi naingia kuna binti mmoja pia kaajiriwa. Hii sehem kuna nyumba kama hostel huwa wanahost wageni wakija na hizi nyumba zimejengwa kwa mfumo ambao kila nyumba ina vyumba viwili yaani kimoja nyuma na kimoja mbele. Kwa bahati nimejikuta niko nyumba moja na huyu manzi na kwasababu wote ni wageni tumeanza kuzoeana mdogomdogo. Sasa jamani nitumie mbinu gani kumtafuna huyu mtoto?
 
Kumtafuna au kufanya nae mapenzi😂😂mnafirisha lugha.

Okay we mshahara wa kwanza,mpe yeye.
 
Kuna sehemu moja nimepata kibarua, kipindi naingia kuna binti mmoja pia kaajiriwa. Hii sehem kuna nyumba kama hostel huwa wanahost wageni wakija na hizi nyumba zimejengwa kwa mfumo ambao kila nyumba ina vyumba viwili yaani kimoja nyuma na kimoja mbele. Kwa bahati nimejikuta niko nyumba moja na huyu manzi na kwasababu wote ni wageni tumeanza kuzoeana mdogomdogo. Sasa jamani nitumie mbinu gani kumtafuna huyu mtoto?
Uache umalaya kwanza
 
Badala ukazane kujifunza mambo yanayohusiana na kibarua chako kipya ili ujiimarishe na kupata maarifa muhimu yatakayokusaidia huko mbele ya safari wewe tayari umeshawekeza kwenye ngono. Halafu Waafrika tukitukanwa na akina Trump tunalalamika
 
Tafuta hela bwana mdogo.
JamiiForums616848261.jpg
 
Kuna sehemu moja nimepata kibarua, kipindi naingia kuna binti mmoja pia kaajiriwa. Hii sehem kuna nyumba kama hostel huwa wanahost wageni wakija na hizi nyumba zimejengwa kwa mfumo ambao kila nyumba ina vyumba viwili yaani kimoja nyuma na kimoja mbele. Kwa bahati nimejikuta niko nyumba moja na huyu manzi na kwasababu wote ni wageni tumeanza kuzoeana mdogomdogo. Sasa jamani nitumie mbinu gani kumtafuna huyu mtoto?

Mwanamke ambae mmekutana kazini huyo ni mzee mwenzio huna haja ya kuanza kutafuta mbinu, huyo anaelewa kila kitu.

We leo jioni mkitoka job mwambie mpite mahali kula cha jioni na stori mbili tatu. Mkiwa huko usije ukalogwa ukamtongoza, we mpigishe stori za kawaida ila mda unavyoenda zihamishie kwenye mapenzi na utani utani mwingi. Wakati upo nae we msome mwenendo wake, msogelee karibu au mshike sehem utaona reaction. Ikifika mda wa kuondoka mshike mkono muelekee kwenye usafiri/daladala/bajaj nk au kama sio mbali tembeeni ila usimuachie mkono! Mkifika hapo mnapoishi, jitahidi muelekee kwako sio kwake. Mpaka hapo utakua umefanikiwa kwa asilimia 30 - 40 kufikia lengo lako. Ukishamuingiza ndani niambie nikupe muendelezo. Ukikwama popote usilazimishe, relax...
 
Back
Top Bottom