Recent content by japhet01

  1. japhet01

    Elimu ya juu huleta umasikini

    Wewe unavyofikiria kila mtu akiacha elimu atafute pesa kama unavyoshauri, ukiumwa ukatibiwe na nani? Au mganga wa kienyeji? Yani unajaribu kusema watu wote tukawe wachuuzi au 'wapambanaji' ila tuwe na mapesa. Best of luck
  2. japhet01

    Penzi lililoisha kwa amani halifi hata siku moja!

    Yafaa nini kukumbuka misri,
  3. japhet01

    Sherehe ya 59 ya kukamisheni maafisa wa jwtz viwanja vya ikulu.

    Nataka tu kujua umekuja utaratibu mpya wa kufanyia kamisheni ikulu badala ya Monduli? Nimezoea kuona zinafanyika Monduli na hii ni mara ya kwanza kusikia zinafanyika ikulu. Natanguliza shukrani
  4. japhet01

    Mc PiliPili `Stand up Comedy` huiwezi

    Anaonekana amejisahau kwa mafanikio aliyopata, anashindwa kutengeneza story/comedy mpya tho kipaji anacho kikubwa tu. Na izo sherehe anazokua MC kila week ndo zinamfanya azoeleke mapema sana. You can always tell atasema nini. Ushauri: apate muda wa ku relax kuja na story mpya tofaut na...
  5. japhet01

    Walokole wengi nuksi sana

    Ni sawa na wewe ukitumika kama kielelezo cha 'the rest of Tanzanians', basi wote tutaonekana ovyoo. Acha ku'judge watu ivyo, watu wa ovyo wapo kila sehem. Mungu na akufumbue macho ya rohoni utoe chuki iyo iliyo ndani na uanze kupenda binadamu wengine. Amen.
  6. japhet01

    Haka katabia ka jeshi la wananchi JWTZ kujiingiza kwenye siasa katatuletea shida

    Hivi si mtuambie ao ma'DC na ma'RC wana nafasi gani kwenye ivyo vikao vya CCM? Kila mtu anajifanya anajua halafu hamsemi. Embu tuone darasa tupate kujifunza wengine sio mbwembwe kumbe ni story zenu za vijiwe vya kahawa.
  7. japhet01

    Ndege mpya yafanyiwa majaribio. Yaenda Kigoma bila abiria na kugeuza bila abiria

    Kazi kwelikweli..sasa umeshasema ni majaribio kabla haijaanza safari za kibiashara, unashangaa nini kua tupu bila abiria? Ulitaka kuwepo na abiria wafanyiwe majaribio nao umo umo? Eti unauliza kama wamesusia. Endelea kuombea mabaya, sala zako hata floor ya kwanza hazitafika
  8. japhet01

    Nimefanyia kitendo hiki kwenye daladala

    Hii story inaonekana dizaini umetunga..btw inavutia kuchangamsha genge, na kama ni ya kweli basi nakupa bravo.
Back
Top Bottom