Recent content by JAPHA ED

  1. JAPHA ED

    FT' Tanzania 2-1 Madagascar, Tanzania imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya Robo Fainali CHAN 2024

    Leo hatacheza mechi mbili mfululizo alipata kadi za njano hivyo kumfanya akose mchezo WA Leo.
  2. JAPHA ED

    Nashangaa wanaolaumu wenzao kuwa hawajafanya kitu katika nchi huku nao hawafanyi kitu

    Sasa nawewe kwanini umekuja kuanzisha Uzi huku?? Ungekaa kimya ungepungukiwa nini??
  3. JAPHA ED

    Utenguzi: Maharage Chande wa Posta, Ulanga wa TTCL na Justina Mashiba wa UCSAF watumbuliwa

    Wote si wamempongeza nape na kumtakia Kila la kheri wacha wakapongezane huko huko.
  4. JAPHA ED

    DOKEZO Responded Vocha za Mitandao ya simu zadaiwa kupandisha bei kiholela Mbozi

    Vocha zimepanda bei Kila mahali wauzaji WA vocha walikua wananua kwa sh 950 kwa jumla inamaana vocha za 10,000 unapata faida ya 500 ikapanda bei ikaenda 960 na maana vocha za 10,000 faida yake ikawa 400 na sasa imepanda Tena na kufikia 970 ina maana vocha za 10,000 unapata faida ya sh 300 na...
  5. JAPHA ED

    Ukarabati wa Barabara ya Tegeta A (Kwa Bedui)

    Vizuri hakika jamii forum inakua ni sehemu sahihi ya kuwasilisha malalamiko ila tatizo ukarabati unaofanyika pia unakua ni WA kiwango Cha chini sana mvua ikinyesha Tena inarudi kule kule ni vyema mamlaka husika zifanye jambo linalodumu.
  6. JAPHA ED

    KERO Responded Barabara Tegete A ni kero, kama wameshindwa kuboresha watuambie Wananchi tujichange

    Tatizo hata ukarabati unaofanyika hauna kiwango wanaenda kumwaga tu kifusi juu juu wanapiga hela wanaondoka mvua ikinyesha yanarudia pale pale mfano pia barabara ya kutoka bunju A mpaka madale ni mbovu sana ila ukarabati uliofanywa ni WA hali ya chini sana .
  7. JAPHA ED

    Najuta zaidi ya Tsh. 500m nimezika katika majengo, mtaji wa kufanyia biashara umepungua pakubwa sana

    Usilalamike sana Bali shukuru hata umejenga maana biashara zina mambo mengi pia unaweza kukimbiza sana na zikaja kuporomoka ghafla ukajikuta hata hujajenga ulikuwa unakuza tu biashara.
  8. JAPHA ED

    Hivi vyuo vya kati kuna bata kama vyuo vikuu

    Vyuo vya kati ni sawa na secondary iliyochamka tu.
  9. JAPHA ED

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Maombi haya hayajafanyiwa kazi mteja ameomba mara ya kwanza Hadi amerudia mara ya pili mpaka Leo hajapata msaada naomba msaada tafadhali.
  10. JAPHA ED

    Nawezaje kupata Leseni ya Biashara ya online?

    Nimefika Hadi mwisho haijanipa control number mbona najaribu kushare picha hapa inanizingua kidogo
Back
Top Bottom