Recent content by Janken jr

  1. Janken jr

    Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

    Mada naona kama inahusu madon wa mexico.
  2. Janken jr

    Kumbe mgunduzi wa GPS ni mwanamke mweusi!

    Kama hamjivumishi nani awavumishe?
  3. Janken jr

    Kumbe mgunduzi wa GPS ni mwanamke mweusi!

    Mengine uliyoandika hujui ata ulaum lipi.ivi wakorea umeambiwa wamepewa.kama urithi au wamehangaisha vichwa kufika walipo?
  4. Janken jr

    Makaburi ya Ma-Don na wauza unga wa Mexico

    Escobar naye ni mmexico?
  5. Janken jr

    Jina Tanganyika kwanini linaogopwa kutumika kuelezea upande wa Bara?

    Kwa nini chama cha mawakili upande wa bara kinaitwa Tanganyika Law society badala ya Tanzania Law society?
  6. Janken jr

    Jina Tanganyika kwanini linaogopwa kutumika kuelezea upande wa Bara?

    Naona in jambo la ajabu yaani Zanzibar na wazanzibar wanajivunia uzanzibar wao laikin watanganyika wanaogopa at a kulitaja jina la taiga lao.
  7. Janken jr

    Jina Tanganyika kwanini linaogopwa kutumika kuelezea upande wa Bara?

    Inapokea kuna suala LA kuitambulisha Zanzibar nje ya muungano tunatumia jina la Zanzibar, lakin ikiwa suala hilo linaihusu Tanganyika Basi wanakwepa na kutumia jina la muungano yaan Tanzania bara so Tanganyika.kwa ninibbasi NATO Zanzibar isitumie Tanzania visiwani. Mfano mashindano ya Moira...
  8. Janken jr

    Iran kupitia ubalozi wa Uswis yatuma meseji kwa Marekani: Shambulio lolote dhidi yake litajibiwa

    Bado tunakumbuka Sahaf wa Iraq wakati was vita vya Ghuba
  9. Janken jr

    Kuna maandiko kwenye vitabu vya dini ili uyaamini inakupasa uwe mjinga wa kiwango cha SGR

    Kwa maswali yako hayo unathiitisha bado ni mbumbumbu kwenye mambo ya dini hasa bibilia.kasome tena..huo udeep labda kwenye ujinga.
  10. Janken jr

    European Parliament resolution on Tanzania

    Bhisseghe
Back
Top Bottom