Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,417
Hakika mambo hayapo wazi na wazungu wanatuficha mengi.mgunduzi wa GPS ni mwana mama DR. GRADS WEST ALEZALIWA Virginia hapa mzungu akisoma wasifu wa huyu mama.
( )
Waafrika tumegundua mengi ila hayavumishwi kama ya mzungu.Hivi unajua kuwa MANAHATAN PROJECT iliozalisha bom la hiroshima na nagasaki pioneeer mmojawapo ni mtu mweusi! Cha ajabu mtu mweusi amefichwa kumiliki hiyo teknolojia wakati ameshiriki kuigundua ila wakorea ambao walikuwa hawajui chochote leo wanamabomu ya nyuklia!!!!