Kwanza hy Ney kwa vyvyt tu atajuta mn kwa maisha ya sasa hv kupata mwanamke wa kulea watoto wacyo wake ni kushukuru Mungu,na cdhani km atampata labda watalelewa na mama yake
Na hapo ndo kwny utofauti kati ya she na he,kwavyovyote vile ubaya wa Ney hautaonekana Cwema ndo ataitwa Malaya ila...
Ulishawahi kuckia mwenye jogoo anaenda kudai mayai au vifaranga??
Kwanza kakosea kudate na mke wa mtu tena kwa ujacri akapata naye watoto3..atapigwa ka nyau huyo rafiki yk
Mmmmh,cna comment kwakweli kwa hilo mn yashanikuta sn hayo hd nikahic nna nuksi na cjaumbwa kupendwa
Ila wanaume wanaojijali saaaaana hawanaga mapenzi ya kweli mn huic usmart wao ndo kila kitu
Nampenda as a best friend of mine,anajua mmb yng yooooote even a boy I date with na ht tukigombana ye ndo hua msuluhishaji wetu,hope umenisoma@polisi jamii
Upo dunia gani mtoa mada??unasema hakuna urafiki kati ya he na she??ur not seriousy kwakweli..mfano mzuri mi mwnyw best friend wng ni mvulana na hua ananishauri vizuri sn ppt nikumbwapo na tatizo na nnajivunia kua naye mn through yeye najua mng concerning wanaume
No kaka angu ucfikirie hivyo kamwe..hy Dada anakupenda sana sema inawezekana toka azalishwe alikua na wakati mgumu wa kupata mpenzi sababu tu ya kua na mtoto,kafanya hivyo ili acumizwe tena na alihic ndo njia pekee ya kurudusha furaha aliyoipoteza cku nyingi...pliz n pliz usimuache tafuta njia...
Duuuu,usanii mgumu hapo tu...yani cri na udhaifu wa ndani kwenye media??? cpendi maisha hayo kabisaaaa...ndoa ina changamoto zake nyng ila zikifika kwny media haziwezi kuisha mn ya ukweli na hata ya uongo husemwa!Mungu bariki ndoa za watoto wako
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.