Recent content by JAMOS

  1. JAMOS

    Una swali kuhusu uchawi na uganga? Uliza ujibiwe

    Mara kwa mara watu ambao wapo karibu ambao hawajachokozwa wala kutendewa ubaya wanawatendea wengine vibaya na wanafanikiwa. Bado Mm napata shida kujua, kwanini watu wabaya kama wazandiki, waongo, wachawi, mafisadi na wenye mizengwe wanafanikiwa wakati mungu yupo. Alafu kwenye kazi fulani wale...
  2. JAMOS

    Sheikh Kishki huu ni Ubaguzi, humjui Sheikh Ponda mpaka Waziri Mkuu Majaliwa amtambue?

    Alilofanya Sheikh Kishki sio jema kwa jamii hata Mungu wetu
  3. JAMOS

    Nikiasi gani unaingiza kwa mwaka na unakifanyia nini?

    Hujasema unazipataje? Kama ni biashara inv.cost , operating cost, profit reduct VAT au kama mtumishi serikalini Hongera kwa kutunza M.6 out of M.10
  4. JAMOS

    Sitakuja kumlaumu Adamu, Wenda Eva alikuwa pini kama huyu na wako wawili shamba zima

    Duuh, miguu mizuri, shape OG, amerembuka. Kwa Nn Hv vizazi vya ng'ambo Sir God kavipelendelea tofauti na local organisms?
  5. JAMOS

    Wanawake kutojitunza kabla ya ndoa ndio chanzo cha kufeli kwa ndoa nyingi

    Unakuta binti kawa used mpaka umfikirie binti mwingine ndiyo ufike Kileleni, bakizeni kidogo bac mpate hata mabaki ya mnato kidogo.
  6. JAMOS

    Natafuta mume jamani mbona sipati

    Cc waislam hatuna nafac
  7. JAMOS

    Hivi kuna Siri gani kwenye chips mayai/kuku kwa wanawake?

    Wanawake wale wavivuvivu na wanafikiria ndiyo ustaarabu kumbe mafuta ya transforma kibao
  8. JAMOS

    Askofu Gwajima: Rais Magufuli asijaribiwe

    Tuchunguze uraia wa Gwajima lkn pia asifanye siasa Kanisani. Ebu aconcentrate na mambo ya imani tu.
  9. JAMOS

    Mke wangu anajamba jamba sana mpaka najiuliza kulikoni

    Mnyime chakula cku 3 ataacha kujamba
  10. JAMOS

    Access bank wamenipa mkopo, msaada baa ipi Sinza ina wanawake wakali?

    Mabaarmaide wengi wa bongo wameshazeeka, kazaa mtoto/watoto katekezwa anakwenda kuwa baamarmaide. Nenda jangwani au mabibo Hostel utapata warembo, alafu ukionekana unanukia pesa ni ulimbo huo wananasa.
  11. JAMOS

    Nipo online, niulize swali lolote juu yangu nami nitakujibu (interview)

    Abdul nijibu: ili tanzania iweze kufikia uchumi wa juu inatakiwa itekeleze mikakati gani ya kiuchumi, kisiasa, kijamii na kiimani.
  12. JAMOS

    Exclusive Interview - Mada: Mahusiano ya kimapenzi sehemu ya kazi

    Mwezi 12 mwaka jana nchi za scandanavia zilitengeneza sheria hakuna mahusiano ya mapenzi kwa wawili ambao hawajaoana kazini. Mwaka huu imeanza kutumika. Mpaka kufikia hapo research nyingi zimefanyika. Ila kwangu Mm kama mrembo wa ukweli wa ofcn haijalishi namega tu na hata kuoa. Jambo lingine...
  13. JAMOS

    Mrejesho: Hivi Mungu aliweka nini kwenye ubongo wa mwanamke?

    Utamsababishia midonda vya tumbo baadae utatoa pesa tena kwa matibabu, ebu kaa nae mweleze nini unatafanye kwako ili maisha yaende sawa. Alafu inaonesha shemeji amezidi uzito mpe mechi nyingi za uck apungue kidogo
  14. JAMOS

    Tetesi: Mishahara kupanda maradufu!

    Brother tunakuheshimu sana
  15. JAMOS

    Wanawake wa Mkoani na Wanaume wa Mkoani katika pozi zao

    Hapo juu pichani katoto ka Arusha slim fit safi sana
Back
Top Bottom