Mke wangu anajamba jamba sana mpaka najiuliza kulikoni

Tatizo nikwamba Kama amejifungua alafu alafu hakuvaa pedi kwa muda angalau wa miezi 2mfululizo hewa inaingia ndani ya tumbo na kutoka inachukua muda mrefu.ivyo awe mwangalif ktika hilo

Tatizo sio wewe, ndo maana haah! Ngoja nisikoment niache eti mtu kama wewe umefunga ndoa ya 50m na ukatoa taarfa kuwa unaoa??? Kweli .............. utayaona ya flauni

Members sometime inabidi kujiongeza akili...hivi kwa uelewa wako mdogo unadhan kila mtu anachoandika humu kinamtokea yeye au kinatokea familia yake?use common sense guys. Kuna mtu amewah kusikia wimbo wa mume wangu jerry? Muimbaji ni mwanaume anayeimba kwa niaba ya mwanamke. So ukiwa na akili ndogo unaweza anza kumlaumu muimbaji kuwa anatoa siri za nyumba yake.kiuhalisia yeye ni fanani anaimba kwa ajili ya kufikisha ujumbe ambao si lazima awe ametendewa yeye. Sasa kwa nini nanyi wengine mnashindwa kujiongeza kuelewa kuwa humu tupo watu wa aina tofaut tofaut na kinachoongelewa dont take it personal. Kama huna la kushauri nyamaza au pengine basi sema relevant issue...unalazimisha kuwa ni siri kuna siri gan hapo? Hakuna kitu ambacho ni siri hata kama ni kikojozi as long as humtaji ni vizuri kuomba ushauri kumsaidia.bakia kusema ni siri kumbe hata siri huzijui.

QUOTE="juvenile davis, post: 17375612, member: 284350"]Siri za ndani hizo
[/QUOTE]

Pole sana kwa wife kujilipua lipua ovyo, mpeleke hospital akachekiwe afya mkuu?

Nina mwaka wa nne sasa kwenye ndoa yangu. Mimi na mke watu tuna watoto wawili, ila kuna jambo ambalo ashakum si matusi limekuwa likinipa kero sana na kuwa na maswali mengi. Mke wangu anapenda kujamba, jamani acheni kabisa, yaani anajamba kwa nguvu zote na kwa kujisikia raha sana, nimejaribu kumwambia kuwa hiyo hali inanipa kero lakini wala haelewi.

Na jambo hili halitegemei kala nini awe amekunywa mchemsho au chips atajamba.awe amekula maharagwe au kunde atajamba. Awe amekula wali samaki atajamba, si mchana si usiku, ye muda wote ni hali hiyo, nimejaribu kuangalia sehemu yake ya haja kubwa kama pengine inaweza kuwa wazi au sijapata uthibitisho wowote bado.

Lakini nachoshangaa ni kuwa anapotaka kufanya jambo hilo huwa kabisa anajiandaa na kubinua makalio yake huku akikenua meno kana kwamba anafanya jambo la busara, raha na la kustahili sifa, yaani ana enjoy sana hilo jambo, lakini starehe yake kwa wengine ni kero. Nisaidieni ana tatizo gani au nimsaidie vipi asiwe anafanya jambo hilo, too much is harmful.
Wewe mara ya mwisho kujamba ni lini?

Pole sana mkuu kwa tatzo
-Nini knapelekea mtu kujamba? Zipo sababu zpo nyng mojawapo na weng tunaifaham (nature ya chakula alcho tumia)
-lnapo kuwa too much tayar hlo ni tatzo:-
*kujamba kwa kujiachia bla hata haya/aibu ( psychological problem)
*kujamba ovyo ovyo hata km MTU hapend (digestive system zake hazko sawa)
Ushaur
- Anza kwa kumtreat kisaikolojia ajue kwamba hlo ni tatzo -coz I wsh its too much.ukfanksha hlo muone Daktar kwa kupata matbabu na vpimo vya njia za mmeng'enyo wa chakula.

Tanbih:- watu wote mlio changia kwenye thread hii kwa kubeza au kutukana siwashangai najua tatzo ni AKILI MKICHWA.

Kuuliza si ujinga walisemaga wahenga.

Hivi harufu ya ushuzi (hapa nazungumzia ushuzi wa mtu mwingine na si wa kwako mwenyewe) ina madhara yoyote ya kiafya kwa binadamu?

July 14, 2014:

Patrick Elias said:

Wanasayansi wanasema kutoa ushuzi ni afya

Kila mmoja wetu kwa wakati fulani huhisi kuvimbiwa na gesi nyingi tumboni.

Suluhu ya pekee hapa huwa ni kujamba ili kupunguza gesi hiyo tumboni

Sasa Wanayansi katika chuo kikuu cha Exeter, nchini Uingereza, wanasema kuwa wamegundua harufu mbaya kama vile ya kujamba japo inachukiza kwa pua, ina manufaa makubwa kwa afya ya binadamu.

Wanasayansi hao wanasema kuwa harufu hiyo mbaya inaweza kuwa kinga dhidi ya magonjwa ya moyo na akili na hata Saratani.

Gesi au harufu mbaya ambayo hutokana na chakula kinachosagwa tumboni mwako inaweza kulinda baadhi ya viungo vya mwili wako.

Ndio! athari ni kile ambacho unakidhania: Eti watu wanauchukulia utafiti huu kumaanisha kuwa harufu mbaya inayotokana na mtu kujamba inaweza kuzuia magonjwa fulani mwilini kama vile Saratani.

Utafiti huo uliochapishwa katika mtandao wa chuo kikuu cha Exter uligundua kuwa gesi hiyo inayojulikana kama Hydrogen Sulfide ambayo pia hupatikana katika Mayai yaliyooza, inaweza kuwa muhimu katika kutibu baadhi ya magonjwa.

"ingawa gesi ya hydrogen sulfide inajulikana kuwa na harufu mbaya na hupatikana katika Mayai yaliyooza pamoja na harufu ya mtu kujamba, hutengezwa mwilini na inawezekana kuwa tiba kwa magonjwa fulani, ''asema Daktari Mark Wood,Profesa wa chuo hicho cha Exeter.

Gesi hiyo ina athari mbaya ikiwa katika viwango vikubwa , kwa mujibu wa utafiti huo.

Watafiti wanasema licha ya harufu hiyo mbaya ya kujamba kuchukiza, ina uwezo mkubwa wa kupunguza uwezekenano wa mtu kupatwa na magonjwa kama vile, Saratani,Kiharusi, mshtuko wa Moyo na kuumwa na mifupa

Chanzo: bbc

1473571205980.png
1473571213693.png
1473571224395.png
1473571239545.png

Kujamba ni Afya. Kwa ushauri wangu nenda kawaone ma Doctor pale Muhimbili watakusaidia hapa jf utapotea.

Back
Top Bottom