Wana Jamvi yaani naomba kuongezea, maana hili limenigusa na sielewi. Mimi hapa Ofisini kwangu tuna choo cha girls na boys, yaani wafanya usafi always huwa wana lalamika kwa choo cha boys yaani WANAUME, kuna siku wakiingia hatupiti kwenye corridor. Hata hawa wakushusha mizigo yao hawa-flash. Juzi...
"Jamani nisameheni, nimekaribishwa na leader, lakini natafuta hata pa kureply sioni" nikienda huko naambiwa hadi niwe na message tano!!.
hili sasa ni jibu la kiongozi.
Nashukuru sana, yaani nimerudi shule maana najifunza hata jinsi ya kutumia hii web, sijui ni ushamba wangu au nini, niliisha...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.