Recent content by Jamie Nsuri

  1. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

    Hahaa Malinzi alihamishia TFF kwenye jengo la kupanga (PPF tower posta). Bahati nzuri FIFA wakatonywa wakawaambia warudi mara moja pale Karume. Uwezo wao huo wa kufikiri.
  2. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kocha wa Taifa Stars afungishwa virago

    Too late,
  3. J

    JamiiForums Tanzania Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

    Assume next year Kiba yupo MTV, hatahitaji kura za Team Diamond ? Mi simpenzi wa muziki kihivo, ila naona dalili za kudidimizana. Kiba Team na Team Diamond bila uzalendo mtakua mna badilishana zamu ya kuumizana wenzenu watawacheka.
  4. J

    JamiiForums Tanzania Davido (David Adedeji Adeleki): They cheated again! (as Idris wins)!

    Assume next year Kiba yupo MTV, hatahitaji kura za Team Diamond ? Mi simpenzi wa muziki kihivo, ila naona dalili za kudidimizana. Kiba Team na Team Diamond bila uzalendo mtakua mna badilishana zamu ya kuumizana wenzenu watawacheka.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

    Kwani Kiba hayupo MTV nae tumpigie kura mazee ?
  6. J

    JamiiForums Tanzania Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

    Sikuwahi kufikiria mwanamuziki wa Tanzania atakubalika Nigeria. Sikufikiria zama hizi kuona channel ya Kifaransa inacheza wimbo wa Mtanzania tena mpya. Badala ya wanamuziki wa bongo kumchukia Diamond, wamuige na kumshukuru, keshafungua njia. Kaza buti usife moyo Bro. Hawakuwezi wanafunga...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Diamond anunuliwa Ferrari na baby wake, Zari The BossLady

    Hehee binadamu kwa vijiba vya roho hatari. Watu wana roho za nyani hawataki kuona mtu anapata wanataka afikwe na majanga tu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Zitto aitesa CHADEMA Kagera, Mwenyekiti wa Wilaya ya Biharamulo arudisha kadi

    Jaman Chaga SACCOS kwani Slaa, Lissu, Mnyika, Salim Maalim, Professor Baregu, Professor Safari, Adv. Marando etc ambao ndio viongozi wa juu ni Wachaga ?
  9. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi mke wako wa zamani akidhalilika inakuhusu pia? Tuzo za Kili mdada makalio yako nje aibu tupu

    Duuuh ! Afu anaonekana mtu mzima maskini.
  10. J

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Wabongo chuki kwa home boy ni fedheha. Let's support Diamond.
  11. J

    JamiiForums Tanzania Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

    ?????????
  12. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye Kilimanjaro Tanzania Music Awards (KTMA) 13 June 2015

    Kiba MTV yupo ?
  13. J

    JamiiForums Tanzania Crazy Fans of Wema, Kiba and Jokate to vote for Davido

    Katuloga nani Wabongo ? Mungu wangu, siamini km haya ni maneno ya Mtanzania. Diamond anaiwakilisha Tz haibadiliki. Davido anaiwakilisha Nigeria. Duuh
  14. J

    JamiiForums Tanzania Sangali Masanja, ana nafasi nzuri ya kushinda Jimbo la Sumve

    "Hehee" hivi ukuwadi sio huu? Chadema ina taratibu za kupata wagombea.
  15. J

    JamiiForums Tanzania Ni kujindaganya kusema CHADEMA ni chama cha ukombozi, nao ni wasakatonge tu...

    Nadhani badala ya kumshambulia uchambuzi juu ya umuhimu wa kutumia helicopter na faida zilizo patikana tangia utaratibu huo uanze vinatosha. Tusiwe km wale tunaowasema kwa kukimbia hoja na kutukana kwa kuita watu Tumbili halafu baadae wanajiuzulu kwa jambo hilo hilo. Hoja kwa hoja no jazba...
Back
Top Bottom