Zitto: Ulidanganya Geita wanakuhitaji, leo umekiona cha moto

Status
Not open for further replies.
Yaani huu ni uandishi wa kimajungu mno.... muda unayoyoma, fanyeni yenu jamani, waelezeni watanzania sera zenu na utekelezaji wa ahadi mlizotoa miaka 5 iliyopita.....kwanini mumfuatilie zzk?....

Mkuu cdm haijitangazi kwa sasa,tayari ipo mioyoni mwa watanzania tayari ndio maana cdm kwa sasa hata diwani anaitisha mkutano na kuitikiwa na maelfu ya kuwasikiliza na kutoa support.
 
Yaani huu ni uandishi wa kimajungu mno.... muda unayoyoma, fanyeni yenu jamani, waelezeni watanzania sera zenu na utekelezaji wa ahadi mlizotoa miaka 5 iliyopita.....kwanini mumfuatilie zzk?....

Sasa ww unaona ufahari kukaa mafsadi ya Mali za umma?
Na km ndio hv ww hufai kubaki hapa jf.
 
Alphonce Mawazo

Wewe ni mateka wa Mbowe tumeishakuzoea kuna zuri lolote la Zitto utalisema lazima uendelee kuwafurahisha mabwana zako.
 
Last edited by a moderator:
Zitto anawapa mimba mshindo aisee ,kumbe hadi Leo hii hamjaweza Ku handle stress zake

Mkuuu naona kizunguzungu kimekubamba,hapa umeelezwa jinsi alivyozomewa hapo katoro na geita,kipi hukuelewa hapo?
 
The truth ni kwamba ATC ni tishio kwa chadema thus y mnahangaika na zitto kiasi cha kukodi wahuni wa kuzomea, mlihic nyinyi tu ndo wenye haki ya kuwa wapinzani, na kwa taarifa yenu huo ukawa wenu unatoa nafasi nzuri sana kwa ATC kuchanua
 
Wewe ni mateka wa Mbowe tumeishakuzoea kuna zuri lolote la Zitto utalisema lazima uendelee kuwafurahisha mabwana zako.

Mkuu Mbowe hahusiki na huu uzi. Zitto amezomewa Katoro na ameambiwa azimio la Tabora ampelekee mkwewe. Usipanic komredi ndo hali halisi hiyo
 
Mkuu lusungo huyu jamaa bado anatafunwa ndani kwa ndani na maamuzi ya CHADEMA kumfukuza. Inaelekea ana hasira za kutisha na ndiyo sababu anataka sana kupambana na CHADEMA kwa hali na mali ili tu atimize lengo lake la kuisambaratisha CHADEMA. Anajidanganya sana kama anadhani juhudi zake zitaweza hata kuiyumbisha CHADEMA chama ambacho kimeshajijenga na kupendwa na Watanzania wengi katika sehemu mbali mbali nchini. Ukipigana na ukuta utaumia mwenyewe.

Huyo genius wenu kwanini hatafuti Sera za kuwaambieni zaidi ya kujaribu kupapambana na CDM??

kulikua na haja gani ya kusema CDM mkia yeye ndio ng'ombe?

Msiba wakujitakia hauna kilio......
 
Last edited by a moderator:
Azimio la Tabora ni mavi mabichi kwa wana Katoro. Zitto akampelekee mkwewe tu hilo azimio.
Kamanda kulikoni tena mbona umepanic unaropoka ovyo umeandika nini sasa kamanda unapigana na Zitto JF.

teh teh teh
 
Huyo ashavunda huku wala asijisumbue aishie huko huko.

Hatutaki mijitu yenye tamaa na uroho uliopitiliza.

Tunajua alichopewa ili audanganye lakini kanda ya ziwa hiyo Yuda tushafuta
 
THE TRUTH NI KWAMBA ULIKUWA UMEMUANDALIA ZOMEAZOMEA UPATE CHA KUSEMA, YOU ARE TOO LOW AND STUPID BROTHER, SIJAWAHI KUONA KIJANA MSHAMBA KAMA WEWE!!! JUST WAIT A BIT AND YOU WILL SEE!!!,hongera UMEWAFURAHISHA MABWANA ZAKO WA UFIPA

Wacha kumbwelambwela wewe,umekula maharage ya wapi wewe? Unaambiwa ukweli hutaki,huyo mawazo ndio awaandae maelfu ya wananchi wote hao kusudi kumzomea zzk? Kama ndio hivyo basi cdm haina mpinzani hapo mkoani geita.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom