Hellow wanajamvi natumaini mko vizur,Naombeni msaada kwenu nina computer yangu Asus mwanzoni betri nilikua nikiichaji ilikua ina uwezo wa kukaa masaa manne lakin saizi naichaji inaonyesha inajaa hadi kufika asilimia 100 but nikiichomoa charger tu pc inazma sasa cjui tatizo nn cos haijanionyesha...
samahani was JF natafuta mahali pa kufanya kazi ya kujitolea iwe ni bank au taasisi yoyote lengo ni kupata uzoefu .Elimu ya yangu in Diploma in business administration specialized in marketing naombeni msaada wenu namba zangu ni 0752348178 asanteni
Hello wana JF,
Natumaini mko poa na tunaendelea kusapotiana kwenye mambo ya msingi, naombeni ushauri.Nilishakuwa na girlfriend mmoja ambaye nilitumaini anaweza kuja kuwa mke wangu kwa maana nilimpenda sana kutokana na ukarimu na upendo alionionyesha kwa muda huo ingawa kwa upande wangu sikuwa...
Samahani wana JF naomba mnijuze mwenye ujuzi was kuiwekea wimbo picha au kava pale unapouplay uwe unashow picha ambayo unaitaka iwe natanguliza shukrani zangu kwa mwenye hiyo knowledge
No kweli unaweza kuactivate windows 10 kwa kutumia kmspico lakini kuna some performance huwa zna miss ..Mwenye key za windows 10 enterprise msaada wana Jf
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.