jameszejie
Member
- Jun 26, 2016
- 17
- 3
samahani was JF natafuta mahali pa kufanya kazi ya kujitolea iwe ni bank au taasisi yoyote lengo ni kupata uzoefu .Elimu ya yangu in Diploma in business administration specialized in marketing naombeni msaada wenu namba zangu ni 0752348178 asanteni