Recent content by jamesmanagreywashington

  1. J

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Mange Kimambi

    Hapo ndio mwisho wa uwezo wako wakufikiri. Yy anayeishi US na ww unaeshi mabondeni huko nani anaishi kama digidigi?
  2. J

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

    Hao wakitoa wanatarajia thawabu kwa Mungu sio sifa kwa binadamu. Labda ujivike sifa ya UMungu waanze kukutangazia kila wakitoa. Nenda singida ukaongee ujinga huo kuhusu MO usikie wananchi watakavyokujibu. Siku anatangaza kuwa hatagombea tena ubunge wananchi walikuwa wanalia. Kulikuwa hakuna mkoa...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Reginald Mengi aungwe mkono, Bakhresa, Dewji Mh!!

    Fanya Kazi ww komaa utoke unajua walivyo hustle kuutafuta huo utajiri. Na hapo ndio ujiulize kwann hata dingi yako hana pesa kuliko hao jamaa ingawa upo uwezekano kawazidi umri. Watu wanachangia kumbuka wengine ni waislamu hao Dini inawakataza kutoa kwa ria yaani kwakujionyesha. Akitoa sio...
  4. J

    JamiiForums Tanzania ELIMU YA TANZANIA

    Hakuna kitu kama kipi?
  5. J

    JamiiForums Tanzania ELIMU YA TANZANIA

    Najaribu kuwaza kwa sauti hivi nikweli ajira za Tanzania hazitegemei elimu uliyonayo? Kama ndivyo nini maana ya serikali kufanya uhakiki wa vyeti kwa watumishi? Je uhakiki huu unawahusu viongozi wenye nyadhifa kubwa serikalini? Na kama hauwahusu kwanini? Na kama unawahusu kwanini kuna kigugumizi...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge Vedasto Ngombale (CUF) ''ahenyeshwa" na Magufuli Somanga

    Sioni Chakumsifia rais hapa,, ulitegemea nani afanye wakati yy ndio rais? Unaanzaje kumsifu rais kwa mchango wa mil 20? Tuache ulimbukeni hiyo ni part ya Kazi yake, sioni sababu yakumsifu coz ametekeleza sehemu ndogo sana ya majukumu yake.
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kati ya Makonda na Nape nani anahitajika sana kimkakati na Magufuli?

    Goli la mkono anahusika huyu mwingine atatusaidia wapinzani kushinda 2020
  8. J

    JamiiForums Tanzania Nape Nnauye(2016): Samaki akifunga mdomo anaswi na ndoano, jifunze kufunga mdomo

    Angenyamaza yasinge mkuta Haya , masikini Bashite bilashaka sasa atajifunza nini maana ya elimu
  9. J

    JamiiForums Tanzania Behind the curtain: September 11

    Kazi ipo
Back
Top Bottom