jamesmanagreywashington
Member
- Feb 21, 2017
- 9
- 10
Najaribu kuwaza kwa sauti hivi nikweli ajira za Tanzania hazitegemei elimu uliyonayo? Kama ndivyo nini maana ya serikali kufanya uhakiki wa vyeti kwa watumishi? Je uhakiki huu unawahusu viongozi wenye nyadhifa kubwa serikalini? Na kama hauwahusu kwanini? Na kama unawahusu kwanini kuna kigugumizi katika kuutekeleza? NAPATA MASHAKA MWALIMU ALIEISHIA KIDATO CHA NNE NA KUPATA DARAJA SIFURI KUPANGIWA KUFUNDISHA ADVANCED MATHEMATICS WANAFUNZI WA KIDATO CHA SITA.