Dangote kiumri tayari yupo juu. Yafanishe maisha yake na ya watu wa umri wake. Watu wa umri wake hata hapa kwetu ndio maisha wanayoishi, hawana complications katika uvaaji, simu na vitu vingine vya ki-lifestyle. Usifananishe maisha yake na vijana. Siku zote vijana wanapenda kuwa na maisha ya...
Tatizo wahusika wamekuwa wakimfumbia macho kwa muda mrefu, sasa anaona hachukuliwi hatua na ameamua kuvuka mipaka. Hii ni mbaya sana maana raisi ndio amebeba taswira ya nchi. Vyombo husika vifanye jitihada ya kuchukua hatua dhidi yake kwa kweli. This is too much
Mbona mnapenda kumshambulia sana huyu mtoto. Kila wimbo mzuri lzm ushindanishwe na nyimbo za Diamond. Huyu mtoto kawafanya nn?? Kwann usiseme wimbo Wa Muziki na Maisha ni mkali kuliko wimbo wa kajiandae??? Hii inanifanya niamini ule usemi unaosema "mti wenye matunda ndio unaopigwa mawe"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.