Recent content by James_patrick_

  1. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Nimeona picha za wahudumu wa treni ya kisasa ya SGR ambayo inafanyiwa majaribio leo kutoka Dar -Dodoma

    Ujui kuchagua we🤣🤣🤣sa hapa umepagawa na nn
  2. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Bajeti ya mshahara wa sh. 400,000

    Nimeanza kazi juzi tu na nalipwa hyo hyo..nahs mungu alikutumia unifundishe jambo..shukrani
  3. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna naweza kupata kopi ya cheti cha kuzaliwa online?

    🤣🤣🤣🤣🤣
  4. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna naweza kupata kopi ya cheti cha kuzaliwa online?

    Kama kuna wahusika wa rita tayali watakuwa wameona kuna haja ya kufanya hvyo.kila kitu kiwepo kwenye website yao kurahisisha mambo.dunia ya leo sio ya kubeba kila kitu.
  5. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna naweza kupata kopi ya cheti cha kuzaliwa online?

    Hasira nyingi utafikiri mtandao ni wa baba ako...nikujuze tu mungu ni mwema..kilichonipeleka pale nimekipata kwa urahisi zaidi..bila ata ya hicho cheti tena nuksi zako zimefeli😂😂
  6. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna naweza kupata kopi ya cheti cha kuzaliwa online?

    Kwan ungenijibu kistaharabu ungepungukiwa nn?hasira za mkeo unaleta mtandaoni..jieshimu basi
  7. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna naweza kupata kopi ya cheti cha kuzaliwa online?

    Habari, nipo Wizara ya Mambo ya Ndani hapa kuna jambo nafatilia wameniomba cheti cha kuzaliwa. Sina kwa hapa ila wameniomba hata copy tu au picha yake. Je, kwa mwenye kujua kuna tovuti naweza kuingia nikapata au ndio nijiondokee tu kinyonge kabisa?
  8. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Dereva natafuta ajira.

    Asante sana
  9. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Dereva natafuta ajira.

    Sawa ndugu
  10. James_patrick_

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nisaidieni kuzimua ubongo wa huyu mwanamke

    I got you mzee🤣🤣🤣🤣
  11. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Dereva natafuta ajira.

    Naitwa james patrick..nina miaka 29,elimu yangu ni form four pia kwa sasa naishi kunduchi..natafuta kazi ya udereva wa magari makubwa na madogo ambayo nina uzoefu nayo kwa muda wa miaka 12 sasa..nipo tayal kwa udereva wa aina yoyote ile ndani na nje ya mkoa wa dar..kwa mwenye kuhitaji dereva...
  12. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Hizi ligi za mabasi zisipodhibitiwa zitaendelea kuua ndugu zetu

    Hivi huwa najiuliza mkuu wa latra huwa anapataje usingizi ikiwa kila kukicha ajali za mabasi ya abiria zinazidi kuongezeka? Ameshindwa kutafuta suluhisho kweli? Mabasi yote yafungwe camera ambazo zitakuwa zinafatilia mienendo yote ya madereva waoshindana uku wakiwa wamebeba roho za watu...
  13. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Kwani Zanzibar wanawachukuliaje watu wa Bara?

    Wanajifanya wanampenda mungu wakati kwao ndo kuna mashoga wa kutosha tu
  14. James_patrick_

    JamiiForums Tanzania Mnaodanganya bei za mizigo kwenye basi chukueni tahadhari

    Bora wao wakidanganya hela inaingia..sasa ww utadanganya alafu unaingia tena hasara..
Back
Top Bottom