Hizi habari za CAG tulizimiss sana enzi za mwenda zake. Maana zilikuwa zinafichwa sana. Au kipindi hicho CAG hakuwepo, mbona hatukuwahi kusikia report kama hizi? Zaidi ya ile report ya CAG Assad yenye loss ya Trillion 1.5, ambayo nayo ilikaliwa na spika Ndungai bila kujadiriwa bungeni!
Kweli...
Amina. Mama yuko vizuri. Kaliunganisha taifa tumekuwa kitu kimoja. Hamna kesi za kubambikiwa na vitisho vya hovyohovyo kutoka kwa wasiojulikana.
Mama hakika ni kiongozi bora.
Lkn tuende mbele na kurudi nyuma. Ni kwamba kenya democracy yao iko juu sana ya Tz labda nyakati hizi za Raisi Samia. Lkn ingekuwa Tanzania ya awamu ya tano kwa maandamano hayo ya kenya yawe kwa Magufuri, watu wengi wangepoteza maisha leo. Maana yule mtu alikuwa Mungu mtu.
Wewe ulieandika article hii. Ni mchochezi wa wananchi na serilikali yao. Ingekuwa enzi za Chuma ungepotezwa. Shukuru mama anaongoza nchi kidemocrasia sana.
Kabisa. Nami ni muumini wa democracy. Kwa umoja wa kitaifa ni muhimu sana. Kuliko kubagua watu na kutengeneza uaduhi ndani ya nchi moja kisa tofauti za mitazamo. Huo ni ushamba na ulozi kama kawaida. Tudumishe democrasia ndo upendo na umoja wa kitaifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.