Recent content by james ngumbe

  1. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania Wale wa samsara na 'rebirth' hamna ushawishi

    Ngoja waje hapa Sent from my D2533 using JamiiForums mobile app
  2. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania Swali: Je makundi ya damu (blood groups) yanaathiri namna gani uzazi kwa mwanamke au mwanaume?

    Magroup hayasababish ugumba ila tu RH group ndo inasababisha haemolytic disease of new born HDN Nayo kma haujafahama kama una group hlo ila ila kuna injection ya hyo HDN... ADDITION ALLOWED
  3. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania Zifahamu faida ya kutumia tangawizi katika mwili wa binadamu

    Ni kuwa mathubuti.. Imara au kufanya kazi kwa ufanisi kama inavyotakiwa
  4. james ngumbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Shukran ndugu yangu
  5. james ngumbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Flat
  6. james ngumbe

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uliza chochote kuhusu matatizo ya hardware kwenye laptop na desktop

    Hivi kwanini monitor huwa zinawekaga mstari kwenye screen
  7. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania Dkt. Louis Shika: Undercover informer aliyenusurika kifo ughaibuni?

    Nlikua naona post tu ngoja mshana aje ngoja mshana aje kwenye kila post ila now nimepata picha... Bro mshana jr ur so unique coz wachache wenye uwezo wa kuskiliza kitu au sentensi na kuifafanua zaidi ya kiini chake..ingawa wenye uwezo mdogo wa kufikiri husema siasa au kiki but for realty wewe x...
  8. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania Airtel mmezima mitambo ya mawasiliano?

    Hahaha iko poa sana hawa jamaa.. Airtel mpngo mzima Sent using Jamii Forums mobile app
  9. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania Mbegu za kisasa ni ajenda ya kishetani na kiiluminati

    Habari wana JF. lengo lao sio kutuua kama wengi mnavyozani... Lengo lao ni kuakikisha haundelei kiuchumi ili wao wachukue vitu wanavyotaka kwa kutudanganya wanatusaidia... SOMA KITU UELEWE HALAFU UANZE. KUKICHANGANUA VIZURI green revolution inatuumiza ukiifatilia Sent using Jamii Forums...
  10. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania What does it take to be a double agent?

    Wes z_ CFC. CX ext f
  11. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania Nimepata Sup 5 katika masomo 8 ninayo soma ,msaada tafadhali

    Kama umesha jua kosa ni wap basi ni rahis kuziclear hzo sup na kuwa muwaz kwa wahusika tena usije jarib kuwaambia haukuwa serious kwnye msom hpo utajiaribia...na kila kitu kinawezekana But pole pia
  12. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania Unaifahamu vipi CocaCola?

    Safi sana Bro. ...maelezo yako yamenishawishi...coz dunia ya leo isingeshindikana kuzitambua hzo ingredients..na wanazijua ila jinsi ya kutumia ili kupata az a original coca cola ndo tatizo
  13. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania Jamani naomba ushauri; Je naweza kureseat masomo matatu?

    Ngoja waje wataalamu
  14. james ngumbe

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nataka kusoma Master of Public Health na Clinical Medicine Diploma kwa wakati mmoja

    Laboratory technology ni ngumu coz vitu vyake ni vidogo ila unaingia ndani sana... Ila clinical medicine sio kiivyo coz vitu vingi ila unasoma juu... NB laboratory ina deals na science behind Wakat clinical inadeal na symptom sana
Back
Top Bottom