JAMBONIA LTD
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 584
- 274
Habari wakuu
Mimi nina Bachelor of science(education) chem&biol nimefikiria kuongeza wigo wa kielimu mwaka huu,kwa kubobea katika kada ya afya kwa kusoma Masters of public health by distance learning wakati huo huo nikiwa college nikisoma diploma in clinical medicine..ndani ya miaka 3 niweze kugraduate zote mbili ili kupunguza muda wa miaka..M.Public health kwa kawaida inatolewa kwa mwaka mmoja lakn kwa distance waweza kusoma modules kidogo kidogo mpaka kwa miaka 3.
Plan yangu ya baadae ni kufungua dispensary/clinic au Health center yangu mwenyewe..nnachotaka ushauri kwa wazoefu wa kozi mbili tajwa hapo juu je kuna uwezekano wa kuzimudu kwa pamoja hasa hiyo diploma nna shaka na mikiki yake cjaijua vizuri japo kwa juu juu sina wasi wasi sana na hyo masters kwan ntakuwa nachukua modules kdgo kdgo..japo wazoefu ndio watakaonipa hali halisi.
Asanteni na karibuni.