What does it take to be a double agent?

ghostmahoka

Member
Dec 16, 2016
31
56
In any intelligence institution it's a known fact that there will arise a select few who will betray one's loyalty to the institution or country. There are agents whose main goal is to scout for possible 'rats' just as others main goal is to recruit agents from rival institutions so as to be stealing sensitive intelligence data for them. They are called Handlers. What exactly makes one to opt to accept to be a double agent despite knowing the risks involved upon being caught?
The link below is a video about a certain Agent/Diplomat from usa who was supposedly caught in russia trying to recruit a double agent some time back and really got the world astonished. Pay attention to the amount of money being offered. If it was about the money why did the double agent set him up for capture by the russians? Huku kwetu what does it take to turn one agent to work for the enemy or another country?

Agent anaweza kugundulika.
Mfano anaifanyia kazi serikali ya kenya sasa labda tumemkamata. Ili awe safe tunampa condition afanye kazi na sisi hivo anawageuzia kibao waliomtuma pasipo wao kujua.Hivo kule alikotoka anakuwa ana feed false information
 
Wes z_ CFC. CX ext f
IMG-20170417-WA0003.jpg
 
Agent anaweza kugundulika.
Mfano anaifanyia kazi serikali ya kenya sasa labda tumemkamata. Ili awe safe tunampa condition afanye kazi na sisi hivo anawageuzia kibao waliomtuma pasipo wao kujua.Hivo kule alikotoka anakuwa ana feed false information
Hapa ndio patamu mkuu, mnakuwa mna uhakika gani Kuwa anawapa false information? Mnamwandikia asome? Je mna uhakika gani kwamba anapeleka hiyo info kwa Taasisi yake na sio rafiki yake? Mnakuwa na uhakika gani kwamba info anazowapa ni sahihi na sio za uongo?
Kuna tele novel moja niliiangalia agent mmoja alitiwa nguvuni na maadui na kumlazimisha apige simu kwa familia yake na ofisini kwake, sasa huyo mpokeaji anakuwa na simu nyingi juu ya meza (mfano simu namba 1=dada, namba 2 kaka ,namba 3 mama, namba 4= manzese restaurante) yaani kuna mtu kazi yake ni kupokea simu tu, ana uwezo wa kuongea sauti ya kike na ya kiume, na huwa ni sign kwao kwamba agent wao yuko salama au matatizoni na wanachukua hatua ya haraka kumsaidia pale wapigiwapo simu.
Mnawezaje kumwamini mtu anayeisaliti nchi yake?
Nalog off
 
Kuna nchi zina sheria kali kwa mtu wanayemshika anafanya ujasusi.Unaweza hata kuuwawa hivo jasusi aliyeshikiliwa anaambiwa achague kifo au kuwasaidia waliomkamata kufanya ujasusi kwenye intelligence agency yake na anakuwa controlled

Pia pesa inaweza kumfanya agent akaifanyia uhaini nchi yake.

kuna yule jamaa alikuwaga FBI ya marekani alikuwa anatoa siri kwa shirika la kijasusi KGB la Urusi.

Motivation yake kubwa ya kutoa classfied information kutoka FBI ilikuwa ni pesa.

Iko hivi mfano mimi niko kwenye intelligence agency fulani agents wa agency nyingine wanakuaproach na kuhaidi kukufaidisha iwapo utakubali kuwapa classfied information kutoka kwenye agency yako.
Hivo agency yako inakuwa target ya kufanyiwa espionage.

Kwa kufanya hivi unakuwa double agent umeajiriwa na agency yako at the same time wewe ni asset wa agency inayoifanyia ujasusi agency yako hivo unakuwa kwenye payroll yao.

Ukiachana na double agent kuna mpaka triple agent.
 
Swali linauliza what does it take to be a double agent. ..Haya ndo majibu yangu...

The main answer is simple. Be close enough to sources of information that is desperately needed by the other side. Then have one of the following qualities: (1) Not agreeing to the ideology of the entity you are serving (your employer or country) or simply you hate your employer (2) Do dubious things of which you don't want your employer to find out (homosexuality, drug abuse, money laundering, human trafficking etc.) (3) Show a behaviour of a big spender. So whoever wants to recruit you will first make sure you meet any of those 3 requirements :D:D:D.. The first one is the best. The second one they will just find your weak spot and use it to blackmail you to spy for them. The third one they will offer you money and since they know that you like a luxury life but you have no means to fund it then there is no way you will refuse their offer in order to spy for them. But you can also approach them for (1) and (3).. Read stories Ames, Hansen (These spied for money), or the MI6 who revealed to KGB about details of tunnel in East German that was meant to tap soviet communication, he did it because of idealogical reasons. The three agents I have mentioned went to KGB and offer their services..:D:D
 
Sasa we mtoa mada unachapa ki english hapa maana yake nini bana?kaa na mada yako mwenyewe
Ndo dawa yenu.:D:D:D Huwa nacheka gazeti la citizen huwa sioni hata comment moja kwenye mtandao. Ila nenda BBC kiswahili au Mwananchi mitusiii imejaa
 
samahani sana wanajamvi. Nilinogewa na mada nikajisahau lugha ya taifa ni kiswahili. Ila sijacopy sehemu yoyote zaidi ya hiyo video link.. ntatoa update ya kiswahili
 
Agent anaweza kugundulika.
Mfano anaifanyia kazi serikali ya kenya sasa labda tumemkamata. Ili awe safe tunampa condition afanye kazi na sisi hivo anawageuzia kibao waliomtuma pasipo wao kujua.Hivo kule alikotoka anakuwa ana feed false information

so mnakuwa mnamfanyia blackmail fulani. Agent yeyote anaweza kuwa asset nzuri especially akiwa double agent. Kumpa false info inaweza kuwa risky kwake because wanaweza jua amekuwa compromised instead agency zingine zikishamkamata double agent wanaanza kumfeed na regulated data/ info iliyochujwa ama ambayo ni harmless ili bado aendelee kuonekana kama yupo safe kumbe walishamsoma
 
Kuna nchi zina sheria kali kwa mtu wanayemshika anafanya ujasusi.Unaweza hata kuuwawa hivo jasusi aliyeshikiliwa anaambiwa achague kifo au kuwasaidia waliomkamata kufanya ujasusi kwenye intelligence agency yake na anakuwa controlled

Pia pesa inaweza kumfanya agent akaifanyia uhaini nchi yake.

kuna yule jamaa alikuwaga FBI ya marekani alikuwa anatoa siri kwa shirika la kijasusi KGB la Urusi.

Motivation yake kubwa ya kutoa classfied information kutoka FBI ilikuwa ni pesa.

Iko hivi mfano mimi niko kwenye intelligence agency fulani agents wa agency nyingine wanakuaproach na kuhaidi kukufaidisha iwapo utakubali kuwapa classfied information kutoka kwenye agency yako.
Hivo agency yako inakuwa target ya kufanyiwa espionage.

Kwa kufanya hivi unakuwa double agent umeajiriwa na agency yako at the same time wewe ni asset wa agency inayoifanyia ujasusi agency yako hivo unakuwa kwenye payroll yao.

Ukiachana na double agent kuna mpaka triple agent.
Boss huyo triple agent lazima atakuwa na exceptional skills hadi aweze kubalance three masters kwa wakati mmoja. Hapo pesa pekee haitoshi maana risk ya yeye kukamatwa na kuuliwa ni kubwa ila akifanikisha mission zake zote salama lazima atakuwa one of a kind
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom