NYOLODO
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 12,205
- 27,938
Habari za muda huu wana jf. Naiman mu wazima wa afya na shughuli za kusaka tonge zinaendelea. Mdogo wenu wa mwisho hapa 'kiziwanda' katika harakati zangu za kupunguza stress za mapenzi, ajira na keri moja, nimevutiwa sana na hii imani ya mabudha, jaina na Hindus.Hii imechangiwa sana na hili linalohusu samsara, yani 'no permanent death' au birth, death, rebirth. Katika pekuapekua yangu nimepitia vitabu vichache kam religions of indians na Budhism without beliefs. Ninepata kutambua machache lakini bado inanipa ukakasi kama si kunikanganya kuhusu dhana ya kuzaliwa, kufa na kuzaliwa tena.
[emoji421]. Mtupe sababu zitakazoweza kutosheleza kuonyesha kwamba uwezekano wa kuzaliwa mtu mpya upo. Imani hii ya rebirth inadai kwamba kila anaezaliwa basi ni mzazi aliyefariki hapo kale, je kuna uwezekano wa kuzaliwa mtu ambae hajawahi kuwapo kabla? Ikiwa sivyo sitegemei idadi ya watu kuongezeka kwa kasi kama inavyodaiwa na wanauchumi na hawa wa kampen ya uzazi wa mpango. Hii inatosha kusema kwamba mtu akifa ameacha pengo akizaliwa mwengine ni mbadala 'replace' watakoongeza idadi wanatoka wapi wakati lazima ufe ili uzaliwe tena. Na,karne ipi hasa mtu mpya wa mwisho amezaliwa?
[emoji421]. Mzunguko wa rebirth unategemea uwepo wa watu na siyo ziada 'beyond the human existance'.Fikiria, Kama ikitokea binadamu wote wamekufa kwa mkupuo eidha kwa gonjwa kubwa au gharika kubw kama lile la nuhu. Hapo utakuwa mwisho wa kila kitu ' rebirth' haiwezekani tena kwan wa kuzaa hayupo. Je, kipindi kama hiki wanaadam watkuwa wapi? Wataish huko kam kina nani? Au ndo total disappearance?
[emoji421].Dunia ingekuwa na maendeleo makubwa zaidi ya haya. Kuzaliwa mara mbilimbili kwa watu kama newton, eistein, plato na watu wanaofanana nA hao kungeiendeleza mno dunia kama si kuiliwaza kutokana na mengi waliyoyafikiria wao na kufa wakiyaacha hayana wa kufumbua. Wao wao katika jeneresheni tofautitofauti wangeleta makubwa mnooo katika teknolojia na ufumbuzi.
Ahsanteni wakuu ,
NAWASILISHA #]