Recent content by James Mkalama

  1. J

    Hilda Newton: Siwezi kukubali Ubunge wa kuhalalisha haramu

    Mungu akupe njia nyingine ya kuendelea kupata mkate wako pia akulinde na waadui wote
  2. J

    Tulia Ackson; Mwanasiasa anayekua kwa Kasi ya ajabu sana

    Kukua kwa maneno au kwa kufanya kazi
  3. J

    TANZIA Mjumbe wa Kamati Kuu ya ACT-Wazalendo, Aboubakar Khamis Bakar afariki dunia mjini Zanzibar

    Hivi wewe unawazazi kwelI au watoto hivi ushetani unakutoka wapi
  4. J

    Serikali iwe Makini na wananchi/wapinzani wanaokimbilia Nchi ya Kenya

    Hebu tuwe utu na tusiandike tu kiushabiki hivi wewe unajua maisha yatu kuliko wengine umemuona Lema huyo sabaya anachofanya nisawa, ccm Arusha kuna mtu anajiitia jumanne ujusi anajulikana Arusha yote na kijana yake ni muuza Madawa ya kuleva yote serikali inaona hamuoni wewe mama yako wala...
  5. J

    Viongozi wa Dini wa nchi hii laana ya Mungu haitawaacha milele. Mkatubu

    Hakuna viongozi wa Dini wala taasisi za Dini bali ni saccos ,tuongeni ukweli hivi hizi taasisi Zina tija gani kwa waumini wao zaidi kuhubiria matoleo nakuwaogopesha watu
  6. J

    Uchaguzi 2020 REDET: Uchaguzi ulikuwa Huru na wa Haki

    Sasa Tanzania kuna Maprofesa kweli au tumbo elimu yenye yakukariri au kununua matokeo,elimu yake imesaidia nini zaidi kukerifisha
  7. J

    Kutoka Arusha: Mrisho Gambo atimiza ahadi ya kuchimba kisima Soko la Kilombero

    Ujue huu ni ujinga mtu awe mkuu wa Mkoa asifanye eti kuchaguliwa ubunge ndiyo afanye tena kwenye kampeni zake alikuwa anajidai anaongelea kero kibao mpaka nikajiuliza huyu ni mpizani au na alikuwa wapi kwani hizo kero hazijatatua akiwa mkuu wako au serikali yao ya ccm hakufanya
  8. J

    Uchaguzi 2020 Kuona ni Kuamini: Je, Oktoba 28, utachagua nini kati ya unachoona kwa macho kitu cha ukweli kilichopo vs ahadi tupu? Msikilize Masanja Mkandamizaji...

    Baadhi ya Watanzania wenye vijeelimu vya kuunga au karisha wamekuwa wajikomba komba ili kuendesha family zao sasa huyo masanja na wewe paskali ndiyo maisha yenu hayo hivi kweli kuifiki kwa wake zenu unajiita wavulana au wanaume? Sijaandika tu ila nachukia sana matendo yenu na maneno yenu...
  9. J

    Uchaguzi 2020 Ole Sabaya awaongoza Wananchi wa Hai kumsindikiza Magufuli kwa Mbio

    Daaa huu ukoro sana hii nchi ina wasanii wengi sana yani basi tu japo sikitika kuona ujinga ndiyo unaendesha nchi. Mungu anisame sana maana sitaki kuona ccm maanayake watu wake sasa watu wako wamefetuka yani hii kujimwa elimu ndiyo madhara yote haya,japo tumetoka mbali sana hivi kipindi wambunge...
  10. J

    CHADEMA nimeshtushwa nanyi, kumbe makelele yote yanayopigwa mitandaoni kumbe hamna uhalisia kule mtaani

    Hivi tafiti unaifahamu au ndiyo ile Tanzania kila mtu chief, boss, kamanda nk kwa maana kila mtu anaweza fanya tafiti maana hivyo yako mashirika utasikia tumefanya tafiti. Wewe hela ya kula chakula kweli unayo maana unavyosema umezunguka Tanzania nzima sizani unakazi ya kukupa kipato. Hebu kama...
  11. J

    Lodge nzuri Arusha City isiyozidi Tshs 30,000

    Mwambie huyo jamaa anayesema mount meru ache kuandika tu kama mtoto ameshakuwa
Back
Top Bottom