Recent content by james chrizestome

  1. james chrizestome

    JamiiForums Tanzania Nassari atoa mil.45 kwenye pesa ya gari la mbunge zisaidie kununua dawa na Vitanda

    Wewe ulitaka aende na nani? Kwani wamemchangia nauli, naona yaleyale ya Bukoba yaweza kujirudia tuwe makini.
  2. james chrizestome

    JamiiForums Tanzania Kaniwekea dawa za kulevya kwenye wine na kunibaka

    Hao wanaokushauri yaweza ikawa si wema kwako, make mm nionavyo huyo hajakubaka ulipenda mwenyewe make kama ni mtu mzima mwenye akili timamu kupenda kwako lifti ndiyo kulikuponza yaweza ikawa nawe unampenda sasa amua moja kubeba mtungi au kuutua, kwaheri mm napita.
  3. james chrizestome

    JamiiForums Tanzania Hali ya Kisiasa Zanzibar: Maalim Seif aongea na Vyombo vya Habari - Jan 11, 2016

    Kama ataamua uchaguzi kurudiwa atakuwa ameula wa chuya akomae hivyohivyo mwisho wataachia.
  4. james chrizestome

    JamiiForums Tanzania Mbwana Samata anatuwakilisha kwenye Tuzo za Glo-Cuf Awards-2016

    Mungu you mwema tupo pamoja naye amen
  5. james chrizestome

    JamiiForums Tanzania Mapendekezo kwa Serikali: Jinsi ya kuimarisha shilingi ya Tanzania

    Kingine tupige marufuku matumizi ya dorral ndani ya nchi yetu kama ilivyo nchi ya Ethiopia, tutumie shilingi yetu, na atakayekamatwa na pesa ya nje ashitakiwe pesa hiyo imilikiwe na serikali tu.
  6. james chrizestome

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli na Mkewe wamtembelea Kardinali Pengo Muhimbili

    Pole baba karidinali Pengo mwenyezi mungu yupo pamoja nawe.
  7. james chrizestome

    JamiiForums Tanzania Bado huamini katika uchawi na ushirikina? Waulize madereva

    Hilo nalo neno cha zaidi ni kumshukuru muumba.
Back
Top Bottom