Recent content by James 2nyi

  1. J

    Nataka Laptop nzur ya kununua

    kuna hp ram 4gb, hdd 640gb, processor 2.5ghz core i5, battery masaa matano, hd webcam... na imetumika kawaida...means haijachubuka inataka 480k tu... njoo pm
  2. J

    Hivi ndivyo Roman Catholic ilivyo

    Mimi si muuminiwa dini yoyote, lakini napenda sana kusoma biblia. Ninachokiamini ni kwamba dini yoyote nzuri ni ile tu inayofuata sheria zote za Mungu. Wakristo walio wengi ukiwauliza siku ya saba ya juma ni ipi watakuambia ni jumamosi, na wanakiri kwamba kweli ni jumamosi. Lakini linapokuja...
  3. J

    Nauza simu tecno boom copy ila inasupport kila kitu sh 100000 tu contact 0683848116

    LABDA WW NDIO UNA AKILI MATOPE NDUGU, SABABU SIMU ZAKO ZOOTE ULIZOTUMIA NI TECNO... TECNO NI SIMU AMBAZO NI LOW QUALITY.... MBNA UNATAKA KUJITOA AKILI NDUGU YANGU KWA KITU AMBACHO KIKO WAZI? HABARI ZA KUTOTUMIWA NA WAZUNGU NI KWELI HAZITUMIWI SABABU WANACONSIDER VIWANGO SANA KATIKA KUIMPORT...
  4. J

    Nauza simu tecno boom copy ila inasupport kila kitu sh 100000 tu contact 0683848116

    TECNO WANA WAKO OG KIAJE? ZILE NI SIMU LOW QUALITY. NA NDIO MAANA ZINAUZWA AFRICA. HAKUNA TECNO INAYOUZWA ULAYA AU MAREKANI. NA KAMA UNABISHA INGIA HATA KWENYE EBAY AU AMAZON NDIO UTAJUA HILI NINALOINGEA. WW NDIO UNAONA KAMA ORIGINAL LAKINI HAMNA KITU PALE. KUNA SIMU ZA KICHINA AMBAZO ZINAUZWA...
  5. J

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Ongeza 50 nikupe j1 ya 4G nyeupe in newly condition... Nicheck 0713672532
  6. J

    Kodi kwenye android box

    Nahitaji kuangalia mpira mechi za ulaya. Nlikuwa natumia castaway lkn kwa sasa inazingua... Kama kuna mtu anajua directory au source nyingine ambayo naweza nikapata hizi channels bila shida anisaidie. Asanteni
  7. J

    Wauza smartphone tukutane hapa

    NAHITAJI IPHONE 4S YA BEI RAHISI. IWE KATIKA HALI NZURI NA ISIWE NA TATIZO LOLOTE. KAMA UNAYO NICHECK KWA 0713672532.
  8. J

    Natafuta marafiki wa kike

    Hi I'm a man aged 23 years old, am looking for female friends with ages not more than 24 years old. For more info about me, 0624054766. You are welcome.
  9. J

    Muongozo wa kununua vifaa vinavyotumia processor za intel

    ok nmekusoma but lengo langu lilikuwa umeangaliaje hyo gpu kutoka kwenye hyo screenshot aliyotuma jamaa......
Back
Top Bottom