Nadhan Watanzania Ule ugojwa wa Njaa ya Ubongo unazidi kushika kasi Yaan unaingia Second line ,Me nilidhan unatoa Taarifa may Be Mafuru ni Mfanyabiashara ambae amepiga atua mbele toka alipo ,Kumbe unamzungumzia mtu alieajiriwa aisee kwamba muda wowote iyo kazi hana aisee Watanzania muda wa...
Tatizo kubwa la Watanzania Kuanzia waasisi wa Taifa ili ni Kwamba Tuna Njaa ya ubongo so nadhan mnaamini ni kwa jinsi gani ukiwa na njaa hautoweza kufikiri na kupanga mikakati yako respectively ,Watanzania sisi Tunaugojwa wa njaa ya Ubongo ndo maana kuna usaliti,chuki,wivu,roho...
Do you knomw meaning of VAT inclusive? Hakuna kupotosha Umma wewe fanya kununua Vocha then angalia kama salio lako kama unaeka tsh 1000 litapunguzwa ndo uje !thingz iko very straight wanaoumia ni wale wanaonunua through Mpesa,Tigopesa kuja kwa muda ya Maongezi
Vocha za kawaida Teyari ni VAT inclusive so we unanunua Vocha kwa Mangi we haukatwi iyo kitu ,Ila kwa ananunua muda wa maongezi from Tigo pesa uyo ndo anakatwa,
Ni muda sasa secta ya madini inazidi kuonekana kana kwamba aina mchango wa kuinua uchumi wa Tanzania ,kuna aina mbali mbali ya Madini kama Dhahabu,Tanzanite,almas,GreenGarnet,change colour,Blue Sappihier na mengine naomba serikali iache Policy haba ianze na sera mpya iifanye kushika Maeneo...
Andika barua kwa meneja wa TRa aliekaribu yako weka sababu ya kusababisha sales kushuka na ushaidi pia ambatanisha Tin no,leseni ya biashara ,Assessment ya kwanza uliopewa wakati unaenda omaba Tin ambayo inaonesha installement za baada ya miez 3 pia lisit zote za kodi watapokea maombi yako then...
Kupanga safu ya kusaidia ushinde gori 3 ,uwa inaitaji weredi na busara kubwa,Kwa Mwendo huu nadhan anapanga safu afu safu iyo iyo inamwagusha efficiency is less than expectation!
Bado Tunatatizo na Marefarii wa Mechi zetu hawana viwango goli ilo la mkono kabisa lakini hata wasaidizi wa refa wamezubaaa kama Tende za mkwakwani aibu sana,
Kuhusu ilo la kutambua nani alimpigia kura halina mashiko coz NEC kanuni inawaruhusu kuchoma material yote baada ya muda fulan na kama suala ya uchauguzi umekwisha so ilo ni kahawa tu ya mzee anjuani wa Tandale ,but serikali mfuko wake umetoboka sana afu matumizi yako rukuki so anachofanya is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.