New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,440
- 2,673
imenikuta mara kadhaa nikiwa safarini madereva wa hiz harrier second generation kujiamini wanapenda wawe mbele muda wote...hata mlimani wana overtake..
kumbe unawaelewa...Na huwa wana tabia ya kupunguza mwendo wakipita karibia na mademu wakali wana sifa sana hawa jamaa
imenikuta mara kadhaa nikiwa safarini madereva wa hiz harrier second generation kujiamini wanapenda wawe mbele muda wote...hata mlimani wana overtake..
kuna mmoja nilim-overtake pale external kwenda jeshini, aisee alinikimbiza na ka brevis kangu kama nimemuibia mke vile, alikuja kunipita kwenye tuta kiasi gari yake ilipaa kidogo, yaani ili mradi awe mbele tu.., tena wabaya wale wenye harrier sura ya ndege taiMpe Ligi ya kumbana ili waisome No,hata wakiwaga wazee tabia zile zile za Masasi shame on them
Pole mkuu,tatizo lawezakuwa ni hicho kigari chako hakiendi kbsa.imenikuta mara kadhaa nikiwa safarini madereva wa hiz harrier second generation kujiamini wanapenda wawe mbele muda wote...hata mlimani wana overtake..
hizo gia umezidisha kwa mbili au ?Mimi nina Land Rover 109 INA gia 8 v8 petrol engine, nakuacha popote ntakakokukuta
Mkuu mimi nina BMW BikeMimi nina Land Rover 109 INA gia 8 v8 petrol engine, nakuacha popote ntakakokukuta
Sasa tuta linajua kwamba hili ni gari gani? nazipenda shock up zangu..Yan na Brevis alikuacha? Usirudiea Tena Sedan ni dawa ya pasua kichwa ao Jamaaa,ford explorer 2010 ni dawa zao
kuna mmoja nilim-overtake pale external kwenda jeshini, aisee alinikimbiza na ka brevis kangu kama nimemuibia mke vile, alikuja kunipita kwenye tuta kiasi gari yake ilipaa kidogo, yaani ili mradi awe mbele tu.., tena wabaya wale wenye harrier sura ya ndege tai
Ndio hizi wanaziita Toyota Harakishi. By the way naona Jf kila member ni mmiliki wa ndinga.