Recent content by Jamal Kimolo

  1. J

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa Man U ajitundika baada ya kipigo cha 4-1

    hapo kasimama kitandani na kujifunga chandarua maana hapo juu ya ceiling bord ni hook ndogo tu kama vipi angeshuka nayo chini kabisa kama ni kweli. uongo mwingine bana hauna hata maana.
  2. J

    JamiiForums Tanzania yanga kukata rufaa dhidi ya Azam

    hahahaaaaaa tatizo la Yanga wanaona kushinda ni haki yao
  3. J

    JamiiForums Tanzania Msikiti Dodoma waungua

    Nipo Dodoma nimepita hapo muda sio mrefu naona Fire wapo wamemaliza kazi yao
  4. J

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

    ni PM Mzee na unipe namba yako nikupigie nipo Serious kaka.
  5. J

    JamiiForums Tanzania Kiwanja kinauzwa tzs 2,000,000 tu!

    weka namba ya simu nikupigie mzee
  6. J

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye sura hii hunyang’anywa sana wapenzi…..!

    Huo utafiti wako nimeukubali hasa kwenye matatizo ya tumbo na mengine uliyoyataja, kweli huwezi kukamilika kila kitu maana wanatumika sana na wanaogopa wakizaa kama watazeeka vile na kutoka kabisa kwenye hali waliyo nayo kwa haraka zaidi. Pia kuwa hivyo wao ni kama kipaji fulani so you have to...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Vifo vya viongozi vyenye utata

    Hivi mnajua Mzee Sudi Sadi Anandenga yule mshairi maarufu alipata vip upofu.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Hello

    This is just to say hello to you all since it is my first time to join JF
Back
Top Bottom