Recent content by Jamaa_Mbishi

  1. J

    Chid Benz: Sikuwa nahisi chochote, nilikuwa nina sumu mwilini

    Abdul bwana, sawa tu.....kumbuka cheo ni dhamana.
  2. J

    Nataka kuanzisha kiwanda cha tomato souce, naomba muongozo

    Ngoja nimtumie Abdul (mtoto wa Mama Samia), atakusaidia - maana mwenzetu ana akili za hajabu.
  3. J

    Eti wanawake; ni kwanini mwanaume akishinda nyumbani vitu huwa vinaisha ndani?

    Hii nafikiri ni wewe tu inakukuta kwenye nyumba yako, usikute mumeo anahonga kwa msichana wa kazi wa jarani.
  4. J

    Watanzania waliopata umaarufu wa ghafla mitandaoni na kisha kupotea…

    Ila ni kweli kabisa kuwa watanzania ni jamii ya kijinga sana, sasa kwa mfano hawa wote waliobandikwa hapa unajiuliza umaarufu wao ni nini na wanachangia nini katika jamii unakuta hamna kitu. Ndiyo maana CCM inawachezea sana akili ndugu zanguni, hamkeni jamani.
  5. J

    Nashangazwa sana na watu wa Pwani hasa Tanga wana mambo ya ajabu sana

    Ushasema Tanga, we angalia watu wa kule walivyo, haswa wanaume. Si mnamuona Jnuary Makamba na baba yake walivyo wa hovyo, wanaume wambea kuliko wnawake, maongezi yao kutwa kucha ni kuweta wenzao.
  6. J

    Ukila mua Bar nini kinatokea ??

    Huyu alinukuliwa sehemu akisema ukila muwa Bar mkundu unawasha na kuwaza kutafuta mtu wa kukukuna, labda aje kukataa leo hii ila aliyasema haya mwenyewe huku naye akijikuna hiyo sehemu kuashiria anawashwa na yeye.
  7. J

    GE2025 Mbona Rais Samia anahutubia wafuasi wake akiwa anahema sana, yuko sawa kiafya kweli?

    Laana za Watanzania zinamtafuna, huwezi kuwa mwizi wa umma ukabaki salama, never. Huku mtaani mwizi kama yeye na genge lake tunawaua iweje yeye yupo tu anahema kama katoka kunaniliwaaa huku akiwadanganya walalahoi tena bila haibu?
  8. J

    Kuoa Single Mama ni sawa na kunywa soda iliyofunguliwa na kuonjwa

    Kuoa singo Mama ni sawa tu na kushabikia CCM huku unajitambua kili
  9. J

    Chid Benz: Sikuwa nahisi chochote, nilikuwa nina sumu mwilini

    Atuondokee hapa, watu tunataka kuikomboa nchi yetu yeye anakuja na mambo aliyojitakia mwenyewe, hatuna huruma naye, akıtaka arudie tu kuyabugia.
  10. J

    Mara paah! Ndio ameingia getto utawaza nini

    Huyu hawezi kuja kwani she doesn't exist
  11. J

    Mwaka 2016-2017, Lissu bila kujua alitumika na “CCM mtandao” kumhujumu Magufuli

    Ridhiwani bwana, sawa mkuu.....vipi ushagawa baiskeli kwa wazee huko Chalinze?
  12. J

    Unafanya dili gani linalokupa pesa? Kwa wanaume wapambanaji tu.

    Kuna vitabu vingine ni vya laana tu tunasingizia ni vya Mungu kumbe siyo, kama huyo dogo alikuwa anasoma Quran basi ni dhahiri kuna sheikh anajilia kisamvu hapo. By the way, dogo alivyokutamani na kukuomba umfile ukamwambia atulie kwanza, ulikuwa unawaza kumpeleka wapi pale Muhimbili?
Back
Top Bottom