Ukila mua Bar nini kinatokea ??

Ukila mua Bar nini kinatokea ??

Habari za Wakati huu Wazee

Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu nizimie kwa mshituko huo. Nimekuja hapa sehemu moja karibu na ninapokaa nikataka niagize kinywaji huku nasikiliza kamziki kidg kidg.

Nilikuwa nimenunua miwa ya kutafuna nikaweka mezani nitafune alfu baadae ninywe maji. Si manager wa Bar kaja haraka haraka kunambia ondoka ondoka usiniletee Balaa.

Niakuliza kwa nia ya kujua kwanini ninaondolewa hivyo, Ndio huyudada mhudumu wa hii Bar akaniambia hairuhusiwi kula muwa Bar huleta ugomvi mkali sana hata watu kuuana.

Nimeshangaa sana 😳😳😅😅😅. Hebu niambieni wataalam kuhusu hii ishu.
Sasa mbona sababu umeelezwa alafu bado unatafuta majibu mengine? Au ndo hukutosheka?
 
Kimsingi hata soda hazitakiwi kuuzwa bar, waachiwe maduka ya mangi wanywaji soda waende huko, ndio sembuse miwa?
 
Habari za Wakati huu Wazee

Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu nizimie kwa mshituko huo. Nimekuja hapa sehemu moja karibu na ninapokaa nikataka niagize kinywaji huku nasikiliza kamziki kidg kidg.

Nilikuwa nimenunua miwa ya kutafuna nikaweka mezani nitafune alfu baadae ninywe maji. Si manager wa Bar kaja haraka haraka kunambia ondoka ondoka usiniletee Balaa.

Niakuliza kwa nia ya kujua kwanini ninaondolewa hivyo, Ndio huyudada mhudumu wa hii Bar akaniambia hairuhusiwi kula muwa Bar huleta ugomvi mkali sana hata watu kuuana.

Nimeshangaa sana 😳😳😅😅😅. Hebu niambieni wataalam kuhusu hii ishu.
Wamekuonea sana nipe location kesho niende na dumu la mtindi mbichi
 
Huyu alinukuliwa sehemu akisema ukila muwa Bar mkundu unawasha na kuwaza kutafuta mtu wa kukukuna, labda aje kukataa leo hii ila aliyasema haya mwenyewe huku naye akijikuna hiyo sehemu kuashiria anawashwa na yeye.
Daah
 
Habari za Wakati huu Wazee

Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu nizimie kwa mshituko huo. Nimekuja hapa sehemu moja karibu na ninapokaa nikataka niagize kinywaji huku nasikiliza kamziki kidg kidg.

Nilikuwa nimenunua miwa ya kutafuna nikaweka mezani nitafune alfu baadae ninywe maji. Si manager wa Bar kaja haraka haraka kunambia ondoka ondoka usiniletee Balaa.

Niakuliza kwa nia ya kujua kwanini ninaondolewa hivyo, Ndio huyudada mhudumu wa hii Bar akaniambia hairuhusiwi kula muwa Bar huleta ugomvi mkali sana hata watu kuuana.

Nimeshangaa sana 😳😳😅😅😅. Hebu niambieni wataalam kuhusu hii ishu.
Kichwa cha Uzi kinasema au kinauliza: Ukila mua Bar nini kinatokea ?? Kilichotokea si umejionea mwenyewe na umetaja? "Nimeshitushwa sana na kushagazwa kiasi almanusura tu uzimie kwa mshituko huo". Halafu tena meneja wa bar kaja kakufukuza. Hilo ndo litatokea.
 
Back
Top Bottom