JamiiForums Tanzania
Hellow
Jitambulishe vizuri jina lako. Unakaa wapi,kazi yako nini, unaitrest gani..una mwenzako au bado na unasubili nini kama bado,mwenyeji wa wapi?na lini utaenda nyumbani tukuagize, je ndugu we mwenzetu unazo kidogo?ha...ha...ha...ha...(nakutania tu)