Ni sawa lkn, huu uwanja ni uwanja wa mapambano, mkiweka wazi mkajuana hata majina yakweli kwa raha ya siku moja mjue mmejianika, mtafatiliwa na akina mwam...pamabazuko, ili mlipuliwe, better muendelee mkijua kukiwa jua au mvua mnaendelea kuchat, la wabaya watamjua kila mtu kwa jina lake halisi...