Recent content by Jakarta

  1. Jakarta

    JamiiForums Tanzania Kabila la Dani Linakata Vidole Wakati wa Ndoa na Talaka

    Dah! Watu wana Imani za ajabu
  2. Jakarta

    JamiiForums Tanzania Taarifa ya Uchunguzi wa kifo cha aliyeongeza uume yatoka rasmi

    Aibu hizi jamani, unakufa kifo cha ajabu kwa kufurahisha watu duh!
  3. Jakarta

    JamiiForums Tanzania Binti Ana Ujauzito wa Miezi 3, Sasa Wazazi Wake Wanataka Nikae Naye—Lakini Bado Sijajipanga

    Assume ingekuwa HIV ungekua umenasa, stress zingekuua. Lea familia Yako acha ujanja janja
  4. Jakarta

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Ni mwendo wa vikombe kugongana tu
  5. Jakarta

    JamiiForums Tanzania Walimu acheni kuwafundisha watoto wetu mabongo fleva kwenye mahafali za shule

    Utandawazi 90%, everything is everywhere hata kama nyumbani hakipo. Kwa hiyo ni ngumu sana kumzuia mtoto labda awe anajitambua.
  6. Jakarta

    JamiiForums Tanzania KERO Majengo yetu Ubungo Riverside (Dar es Salaam) yanaoza tangu 2020, TANROADS wamezuia kuendeleza, tunazidi kupata hasara

    Yaani PESA za fidia sijui zina nn, tathmini inafanyika leo, lakini malipo mpaka umalize ofisi zote za serikali. Bado tuna Safari ndefu sana ya kufika huko tuendako kama nchi.
  7. Jakarta

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anam-post Bosi wake WhatsApp Status

    Mke mwema anatoka kwa bwana, umepata wakufanana nae😂😂
  8. Jakarta

    JamiiForums Tanzania Huyu ananinyima tu au ni kweli?

    Bora hata huyo mkweli Angekuletea mimba ungekubali ww?
  9. Jakarta

    JamiiForums Tanzania Haya wale Wataalam (Mangwena) wa Uchumi Tanzania nawaombeni mnijibu haraka ili Swali langu linalonitatiza kwa sasa

    Nilisikia Jana msemaji mmoja wa kampuni kubwa ya mafuta duniani akisema, Hata kama njia ya Hormuz ikifunguliwa itachukua muda kidogo hali kuwa sawa, kwasababu kuna vitu vilitegwa sehemu mbalimbali kwenye maji wakati wa vita ( sijui ni mabomu) ambavyo ili vitolewe vyote unaweza chukua miezi...
  10. Jakarta

    JamiiForums Tanzania Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

    Mali zunatoa roho watu duh!
Back
Top Bottom