Recent content by Jakalu kipele

  1. J

    JamiiForums Tanzania How to track someone's phone?

    Sku zote najua ukitaka kumtrack lazima upate cm thn uingiza spy App lkn kuna mtu anatumia no tu bila yakuwa na cm ya mlengwa..... Nipe ujuz mkuu
  2. J

    JamiiForums Tanzania How to track someone's phone?

    Kali sana hiyo
  3. J

    JamiiForums Tanzania How to track someone's phone?

    Nausubir tena
  4. J

    JamiiForums Tanzania How to track someone's phone?

    Mjadala umeisha au bado elimu inaendelea kutolewa?
  5. J

    JamiiForums Tanzania BAD NEWS: Mwandishi Finnigan Simbeye wa The Guardian aokotwa akiwa hajitambui, amepigwa vibaya jijini Dar

    Mungu atusaidie kwani kila kukicha ni heri ya jana
  6. J

    JamiiForums Tanzania Harusi ya binti wa Dangote yafana! Yahudhuriwa na vigogo wakiwemo Bill Gates na Jakaya Kikwete

    Mademu wa kibongo ni wakali sana hata bila kipodoz lkn mtoto anaita....
  7. J

    JamiiForums Tanzania Singida: Ajali inayohusisha Lori imetokea na kusababisha moto mkubwa maeneo ya Misigiri, 2 wapoteza maisha

    Japo wote tunaelekea njia hiyo lkn ni kwa mazingira yapi umeondoka, wakat muda saa hatujui.....kikubwa maisha yetu tumkabidhi mungu aliye juu....
  8. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli fisi ana jinsia mbili?

    Noma sana hii habar nilikuwa siijui kabisa
  9. J

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Haki za Binadamu: Hukumu ya Babu Seya na Papii Kocha ilikuwa sawa, japo kuna haki zao zilikiukwa

    Mahakama imewaachia uhuru ingawa wako nje kwa msamaha wa rais, kwahiyo swala ka kudai fidia ni juu yao watavyoona inafaa:
Back
Top Bottom