Recent content by JAKABWANA

  1. J

    Ujumbe wa Dr. Shein una walakini

    Aongeze mishahara ya nini ? Wakati vijana wengi wamemaliza vyuo na hawana ajira, bora pesa hizo awape kama 'capital' wafanyie biashara .Kwanini aliyenayo aongezewe?
  2. J

    Mbeya: Jeneza latelekezwa sokoni likiwa juu ya meza mbele ya duka moja

    Suala hili limenichekesha sana nilipotafakari haya maneno.1. jeneza iliwekwa mbele ya mwenye duka anayeuguza mama yake 2. jeneza tu limesabisha takriban viongozi wote waende kuliona 3. haraka ya wenye magari inasabisha wanalitelekeza na 4. Na mlinzi mara nyingi analinda mali inayotoka au kuibiwa...
  3. J

    Viongozi wa sasa jifunzeni kutoka kwa komando Salmin Amour

    We usilalamika sana mbona hata mama yako naye alitengana na baba akaenda msumbiji unafikiri hatukujui. Mpaka uliomba msaada serikali wakuandikie barua ya kumrudisha mamako iligonga mwamba ndo maana unamchukia komandoo
  4. J

    Alhaji Sheikh Bura katika uhai wake alipata kusema yafuatayo

    Hivi kwanini Wachina hawataki waislamu, India hawataki waislamu ,Amerika hawataki waislamu, Ulaya nzima hawataki waisiamu, Nigeria, Burkina faso, Afrika ya kati na hata Tanzania eneo la Kusini yaani Mtwara hawataki waislamu. Kulikoni ?? dini hii nzuri , waganga wengi wa kienyeji ni waislamu ...
  5. J

    Daraja la Ulongoni A limekatika

    Kama mimi ni CCM na wengi hapa ulongoni ni ccm ,basi watujengee daraja letu watu wa ccm pekee yetu
  6. J

    Daraja la Ulongoni A limekatika

    Ahsante sana nafikiri we ndo mkurugenzi atakayetukoa .Ulongoni A iko Goms Dar es salaam ipo kati ya Goms na Kinyerezi Ahsante sana nafikiri we ndo mkurugenzi atakayetukoa .Ulongoni A iko Goms Dar es salaam ipo kati ya Goms na Kinyerezi
  7. J

    Daraja la Ulongoni A limekatika

    Wakati wa mvua kubwa kunyesha .Daraja la Ulongoni A limekatika na kuua mzee moja aliyebeba mzigo mgongoni akijaribu kuvuka. Tunaomba Serikali ya CCM itusaidie kulijenga kwani diwani wetu ni wa CHADEMA !!
  8. J

    Je, inawezekana Serikali kujenga barabara za zege?

    Hao waliopata ushauri wa watu, pamoja na wake zao walifika wapi ???
  9. J

    Mtangazaji Maulid Kitenge ahamia WASAFI FM akitokea EFM

    Duuuuh!!! Mie nampa pole sana huenda atapata indirect ajira au msaada kama Mwl.Ngurumo na Mzee Majuto
  10. J

    Mstaafu Benard Membe hajaenda kwenye kilele cha mbio za Mwenge

    HE IS JUST RUBBISH NOTHING HE COULD ADD IN THE NATIONAL CEREMONY, BETTER FOR HIM TO JOIN WITH SOME TRAITORS . HE MAY JOIN WITH NATIONAL WANTED. LET US THROW HIM TO THE HELL OF CHADEMA
  11. J

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    Mara nyingi watu ni magumu kuelewa JPM, mambo mengi anaongea kwa mtazamo na mengine ni ya ukweli hasa kwa mantiki ya kisiasa. Kwanza mtu kama wewe ambaye inaonekana uelewa wako ni mdogo unatakiwa ujue maana ya siasa, propaganga na kashkai hapo ndo utajua hotuba za JPM. Hata hao unaowaamini kama...
  12. J

    Upepo wa Arusha na Nairobi jana: Vyombo vya habari vya Tanzania vimeripoti kama social media. Badilikeni

    MLETA MADA UMELETA UZI MZURI SANA LAKINI WACHANGIAJI NDIYO HAWAPO NI MABUMBUAZI NA WENYE IQ NDOGO MNO. Labda hata mie najiuliza kila siku hapa tanzania kuna nini make ukienda hata hali ya hewa uongo ndiyo mwingi katika utabiri wao, kwanini serikali isisomeshe hata watu 5 tu USA ili tuwe na...
  13. J

    Kuna wanaopanga maandamano ya nchi nzima kushinikiza kusiwe na uchaguzi 2020 na Magufuli aendelee kuwa Rais

    Watakaoandamana kinyume ni watoto wa mafisadi na watu wa kilimanjaro, arusha na mbeya .wengine wote watakuwa nyuma Magu.
  14. J

    Makonda haguswi, ni mtoto wa baba. Ajali ya ndege ya Auric iweje wanajeshi wafanye uchunguzi wakati ni ndege ya kiraia? Tunaficha Ebola?

    Poleni sana wapenda rushwa watu wasiopenda maendeleo. kwa Makonda mtaongea mpaka mweleze Lissu awaelezee kwa mabeberu wenu, hata mpewe award gani kutoka kwa mabwana zenu CCM bado ni kinara na Makonda bado ni mkuu pumbavu zenu
Back
Top Bottom